mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwani wewe ni mtanzania?Lissu atapigiwa kura na robert tu
Uchaguzi huu ni kuwafundisha Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Wenzio wamekamatwa mwanza Jana hivyo watakutaja na wewe utakuwa ndani 2810,mwaka huu hatutaki kabisa