Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

Watu mnavutia hisia mionekano ya watu kwa miandiko yao na avatar, hii ndio wanaita kuuziwa mbuzi kwenye gunia, wajinga ndo waliwao

Ni bora kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kuliko kuuziwa gunia bila mbuzi... kura yako tafadhali.
 
Kwa JF ilivyo usishangae hao ni wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app

wote midume iyo, shauri yako

Hii dhana ikoje, kwanini tunakuwa na mashaka hasa kwa ID za KE kuwa ni ME na si kinyume chake..?

Eti ID ya kike ikiwa ‘konki’ hatukubali, ni kwa vile wanawake vilaza sana..?

Sijawahi kuona ID ya kiume ikihisiwa kuendeshwa na KE, ila za kike kibao utasikia ni ME in disguise.... sio sawa.
 
Tupieni hata picha za reception tuone sio lazma sura maana sisi tunaangaliag kuanzia kifuani kushuka chini
 
Kwanini unawatambua watu kwa kutumia vitako vyao?

Sent from my vivo X21 using Tapatalk
Vitako vimekuwa ndio identity sasa, vipi wale walioanguka bafuni wakafikia makalio.
Mambo ni mengi muda hautoshi.
 
Back
Top Bottom