Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Tatizo nyinyi nanyi mmezidi ushamba, mmepewa nchi miaka mitano tu mkaanza kula nyama za watu; kwa sasa ENDELEENI KUCHUNGA NG'OMBE
 
Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Well said, na huo ndio ukweli, ukiwahujui mitazamo ya watu nnje ya JF unaweza kusema waTanzania hawakumuelewa JPM.
Lakini ukiingia kwenye mitandao mingine na mitaani,ndio utajua Magu alikubalika kiasigani.

Alikuwa nimtu mwenye ndoto zakuiletea tanzania maendeleo ya kweli na akiongea unamuona anamaanisha anachoongea kutoka moyoni.

Hakutaka ujinga kabisa kwenye swala la utumishi wa uma.

Yoyote atakae beba falsafazake atapatakura nyingi na zakutosha, ngoja tusubiri muda.
 
Unachuki na wasukuma utafikiri unawazidi hata maisha! Wewe hohehae tu huna kichwa wala miguu! Wasukuma utake usitake watakuwepo tu kwenye SERKALI hata saizi mawaziri wengi ni wasukuma!
Mashimba Ndaki-Ufugaji
Ditto Biteko- waziri wa madini
Angelina Mabula- Ardhi
Stegomena Tax- Ulinzi
Masanja- Naibu waziri maliasili
Nkundo-Naibu waziri wa mawasiliano
Kasekenya- Naibu waziri wa ujenzi.....
Sasa wewe kichwa panzi wasukuma hao halo bado wanadunda kwenye baraza la mawaziri! Akina Bashe nimeacha kuwaorodhesha hapa usijeniambia maneno mengine!
Kijana jifunze saizi wasukuma sio level zako! Vipi wewe kuna mawaziri wangapi wanatokea huko kwenu? Punguza upuuzi!
 
Mi kanikera sana! Hawezi kufanya vitu vyake mpaka amtaje Magufuli! Very stupid behaviour!
Yaani amefuata nyao za mtangulizi wake ...JK na awamu yake walikua wameisha toka ila jamaa kila hotuba lazma aseme tumeibiwa na kuchezewa sana
 
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Upuuzi huu toa
 
Kura hapa tz hazitoi maamuzi yoyote. Anayetoa maamuzi Ni mkurugenzi wa uchaguzi anaamia amtangaze Nani Basi!!
 
Mama kazingua sana. Hakika JPM amepitia mengi sana hadi umauti wake
 
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Nyamagana (WENJE DIBOGO EZEKIA) ilemela (KIWIA SAMSON) ukerewe (MACHEMLI NALUYAGA) msoma (NYERERE VINCENT) (BIHARAMLO) ANTHONY MBASSA RIP
 
Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Ni lini CCM imetegemea kura zetu kukaa madarakani? Hivi Kuna mgombea alikua competent zaidi ya Dr Slaa? Kama hakupewa usidhani Mama ataangushwa.

Mkiambiwa tume huru ni muhimu muwe mnaelewa
 
Well said, na huo ndio ukweli, ukiwahujui mitazamo ya watu nnje ya JF unaweza kusema waTanzania hawakumuelewa JPM.
Lakini ukiingia kwenye mitandao mingine na mitaani,ndio utajua Magu alikubalika kiasigani.

Alikuwa nimtu mwenye ndoto zakuiletea tanzania maendeleo ya kweli na akiongea unamuona anamaanisha anachoongea kutoka moyoni.

Hakutaka ujinga kabisa kwenye swala la utumishi wa uma.

Yoyote atakae beba falsafazake atapatakura nyingi na zakutosha, ngoja tusubiri muda.
JPM angekua na ushawishi huu mnaopenda kumpamba humu sidhani kama 2020 angetumia nguvu vile kupiga kampeni.

Kingine CCM haijawahi kuhitaji kura zetu ingekua hivyo Dr Slaa angemuangusha JK au Lowassa angempiga JPM asubuhi kabisa maana CCM ilikua imechokwa Kila wilaya nchi hii!!

So kuliko kujiumiza kisaikolojia, 2025 ni Samia Tena utashangaa Geita na Mwanza "anashinda" kwa 80!. Akitoka Samia mnapewa Ridhiwani au Makamba mpaka 2040!!

Siku nyingine mkiambiwa katiba mpya ni muhimu muwe mnaelewa.
 
Swali langu ikitokea rais na makamu wake haziivi katika utendaji wao taratibu zipoje kisheria kuondoa msuguano huo? Je namna gani yakumuondoa madalakani makamu mana ndio msaidizi na raisi akawepo madarakani bila kuadhiri serikali yake?
 
Back
Top Bottom