William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani.
Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa UCHAGUZI.
Je, kwanini NEC izuie watu kukaa nje kusubiri matokeo.? Vipi Kama wajumbe wa CCM wangepiga Kura na kwenda nyumbani na kuja kutangaziwa kesho yake kuwa Fulani kashinda ingetokea Nini!?
Nec haitakiwi tu kutenda haki Bali kuuthihilishia umma na kila mtu na dunia nzima haki imetendeka.
Uwezi kwenda kucheza Mpira alafu ukitolewa sub urudi nyumbani kusubiri matokeo.
CCM TUNAJIAMINI TUTASHINDA ASUBUHI KABISA. TULIAHIDI NA TUMETEKELEZA KWA KISHINDO. WAACHE WAKAE WAONE WENYEWE MATOKEO. HATUTAKI FUJO KABISA.