William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #21
Unaweza kunukuu vifungu vyovyote vya Sheria vinavyozuia kitu hicho!?Sheria inakataza kuwa karibu na kituo cha kura, mimi sio mwanasheria usubiri nikupe kwa vifungu. Hapa suala sio sheria bali ni uhalali sheria, maana hata wakoloni walikuwa na sheria lakini zenye nia ovu.