Uchaguzi 2020Kura za maoni CCM. Wapiga kura wote walikuwepo ukumbini kuangalia kura zinavyohesabiwa. Kwanini Nec iwe na mashaka kwa watu kuwepo nje ya vituo
Sheria inakataza kuwa karibu na kituo cha kura, mimi sio mwanasheria usubiri nikupe kwa vifungu. Hapa suala sio sheria bali ni uhalali sheria, maana hata wakoloni walikuwa na sheria lakini zenye nia ovu.