Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Kama si mkazi wa Kyela unahaki!Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni
Manaibu waziri pia woote , yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita
Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri , nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri
Pili ,nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Jamani kitwanga nnavompenda.. [emoji17]Mwakyembe, Maghembe, Kitwanga, Lwenge nk kwa sasa wapumzike tu.
Siasa za majimboni zilishawatupa toka 2015 lakini wakalazimisha game iwabebe.
Hata kwa bunduki mwaka huu wasingeweza kuvuka.
Hebu twambie wewe,unahisi nini?Duh
lakini mbona mawaziri wanaume wote wamepita?
Mnyakyusa hata kwenye misiba..ukijifanya ushiriki katika misiba ya majirani au ukajifanya uko busy na shughuli zako na kutoona shida za mwenzako na kujiona' spesho' sana wewe jiandae kisaikolojia siku yakikufika..utaomba ardhi ipasuke.Wanyakyusa sio watu kama unabisha nenda kaishi nao.MWAKYEMBE ALIKUWA ANA WA FOOL KUMBE WANAMCHEKI TU LEO KAWATEGEA SHINGO WAMEPITISHA KISU.
Mwakyembe ni mzee mhuni pia muongo muongo.
Jamaa atakua aliramba mlungula huyo so bure..Mwakyembe kupigwa chini jamaa Kama kapagawa hivi.Hebu twambie wewe,unahisi nini?
Nimeona Kapuya kapita...hii imekaaje??Mwakyembe, Maghembe, Kitwanga, Lwenge nk kwa sasa wapumzike tu.
Siasa za majimboni zilishawatupa toka 2015 lakini wakalazimisha game iwabebe.
Hata kwa bunduki mwaka huu wasingeweza kuvuka.
Kuna Naibu waziri amepigwa chini na Tale, sijui wa kilimoKatika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.
Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.
Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.
Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Darasa la saba wamefanya yao, arudi vyuoni alivyojigamba akafundisheDharau na kebehi
Nipeni matokeo ya Kondeboy plz"ALILEPO KAKO " hii ni sentensi maarufu sana kwa vijana wa Kyela kwa sasa
Hata sikuona kama alichukua fomuNipeni matokeo ya Kondeboy plz
Labda kapima upepoHata sikuona kama alichukua fomu
Mzee kuna naibu waziri kaliwa kichwa na babu taleKatika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.
Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.
Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.
Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Huyo Kinanasi ni mkinga au mnyakyusa?Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.
Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.
Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.
Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Sababu ni hii
View attachment 1513139
Tatizo ni digrii 4! Na pia matumuzi yake.Haiwezekani 'msomi wa digrii 4 ,dk.wa filosofi,anafundisha vyuo vikuu mbali mbali vinne akeshe uwanja wa ndege kumsubiri mtu wa std vii! Lakini anawadharau wapiga kura wa std vii! TOTALLY INSANITY!Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.