LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi)

Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa.



Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa
 
Hakika ni ngumi kila mahali. Sehemu zingine Polisi waenda kuokoa jahazi.
 
Yani hadi uongozi wa serikali za mitaa wanadundana🤔
Kama kuna chama kinachodhani kuwa kinakubalika halafu hakijui umuhimu wa uchaguzi wa Serikali za mitaa basi hicho ni chama cha wahuni na wapumbavu na lalofa.

CCM hapa huu uchaguzi ndio unaowapa dira ya kuelekea 2025 .
Wakishindwa huu uchaguzi basi 2025 kwisha habari yake
 
Chama cha wahuni ni kile kinacholazimisha kukubalika hata kwa kuiba kura .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…