900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
hapa nilipo ndo ambulance imeondoka kwa spidi ikimuwahisha diwani wao dodoma wamemkatakata vibaya sana. Kama tu wenyewe ni hivi itakuwaje wakati wa uchaguzi na chadema.Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi)
Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa.
View attachment 3133560View attachment 3133562
Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa