Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh sasa mwenyeviti wa mitaa na vitongoji kuna ajira gani apo mkuu?Uongozi katika siasa ni ajira
Pumbavu kabisa umbwa hawa...lazima wagombane maana uhakika wa kushinda Nov 27 ni kama 99.9%...kansa ya kuwaibia upinzani chaguzi inawatafuna sasa....kwenye ubunge na udiwani itakuwa kivumbiKila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi)
Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa.
View attachment 3133560View attachment 3133562
Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa
Kweli aisee 😂😂😂😂😂😂😂
Watu wanalogana hadi kuuwana kabisa we unashangaa ngumi tuYani hadi uongozi wa serikali za mitaa wanadundana🤔
😀😀😀Wezi wanaibiana😂
Unaijua ten pecent ya kila kiwanja kinachouzwa weweYani hadi uongozi wa serikali za mitaa wanadundana🤔
Mimi natamani wauane kabisa hawana faida yoyote hapa duniani.Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi)
Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa.
View attachment 3133560View attachment 3133562
Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa