LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Pumbavu kabisa umbwa hawa...lazima wagombane maana uhakika wa kushinda Nov 27 ni kama 99.9%...kansa ya kuwaibia upinzani chaguzi inawatafuna sasa....kwenye ubunge na udiwani itakuwa kivumbi
 
Rushwa, wizi,makundi, migawanyiko, ulafi wa madaraka, makafara, uchawa, utekaji, kupoteza na kuuana n.k ipo katk DNA ya wanachama wa chama dola kongwe hivyo dhambi hizo zinawatafuna

Na haya ni chembe kidogo kulingana na uovu pia uhalifu ulipo CCM, tutaona mengi .

 
Huku napaficha ila uchaguzi labda urudiwe watu wamepigana sana masanduku ya kula yamekutwa kwa kila mgombea yaan polisi ndio wameokoa jahazi na uchaguzi ushavurugika hivyo, kwa hali navyoiona mwakani watu watauana sana asee.
 
Mimi natamani wauane kabisa hawana faida yoyote hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…