LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
hapa nilipo ndo ambulance imeondoka kwa spidi ikimuwahisha diwani wao dodoma wamemkatakata vibaya sana. Kama tu wenyewe ni hivi itakuwaje wakati wa uchaguzi na chadema.
 
Kurjuan hiyo inawatafuna. Damu za wapinzani walizomwaga haziwezi kuwaacha salama hata kidogo.
 
Huu uchaguzi wa moto sana.
Kila kona ni vurugu
 
Hahaha kwa ccm hizo sherehe. Kule kila mmoja jambazi hakuna atakaye kubali jambazi lenzake limuibie.
Wamezoea KUTEUWANA, uchaguzi ccm siyo desturi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…