Waziri wa mambo ya Ghafla
Member
- Mar 19, 2017
- 62
- 53
Warumi naombeni kuuliza kama papa kashapata Bwana maana mamende kwa kutenga fungu ,nadhani posa zishamfikia tunasubir tamko la nan atamuoa anywewe pombe kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha .....ukajua atavunga[emoji28]Wasabato wamekuwa wamchongo
Ukiwauliza wanasema wanaenda na wakati
Kuna msabato wakati naishi Buhongwa
Alikuwa ananidai kodi ya miezi mitatu,laki 180k
Nikajaribu kumpa siku ya sabato asubuhi
Nikajua atavunga,
Alizisundika mfukoni chaaap
Your welcome.... Ikiwa una swali lolote juu ya uislamu waweza uliza. Ikiwa unashaka juu ya fundisho lolote lenye ushahidi wa kimaandiko waweza hoji NASI tupo kusaidizana.Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
Dini ni mawazo ya wanadamu ya namna ya kumtafuta Mungu. Yesu hakuja kuhubiri mawazo ya wanadamu bali alihubiri wokovu na msamaha wa dhambi. Yesu hakuja kuanzisha dini bali alileta msamaha wa dhambi duniani. Hicho ndicho mimi ninachohubiri, wokovu na msamaha wa dhambi tulioletewa ba Bwana Yesu. Watu wanapaswa kuachana na dini na kuja kwa Yesu wapokee msamaha wa dhambi na wokovu bure.Sasa yesu kama hajahubiri Dini, NY inyi ukristo mmeutoa wapi?