wisedickson
Member
- Jun 2, 2015
- 11
- 2
Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Morogoro vijijini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti, 2025."
Je, ni kusema Serikali inamsaidia mgombea Uraisi wa Chama Fulani tu kufanya kampeni ama inapaswa kuwa fair kwa wote?
Je, ni kusema Serikali inamsaidia mgombea Uraisi wa Chama Fulani tu kufanya kampeni ama inapaswa kuwa fair kwa wote?