Kurejea kwa Bdozen kwenye kipindi cha XXL cha Clouds Fm kunaenda kurejesha mvuto wa kipindi hicho

Kurejea kwa Bdozen kwenye kipindi cha XXL cha Clouds Fm kunaenda kurejesha mvuto wa kipindi hicho

Kitu ambacho wengi hamjui ni lini XXL ilipoteza mvuto,ni baada ya Clouds kugombana na WASAFI,hapo ndo watu wengi waliikatia tamaa XXL ,kwahiyo basi,itakuwa ngumu sana kukirejesha kwenye chart hicho kipindi..
 
Adam Mchomvu asiyejua kipi cha kusema kwa wakati gani na kwa hadhira ipi unamlinganisha na Bdozen? Unazungumzia stori za kihuni? Sio kila mpenda burudani ni mhuni kuna watu wenye staha zao ambao wanasikiliza vipindi vya mchana.
Tatizo ni kuwa choko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini mama ubayaa ndo alimkuta mwenzake mbelee, anajua walianzia wapiii? Na hawaachani wale kamwee.
Daah 🤓 🤓 🤓 🤓
 
Back
Top Bottom