Kurejea kwa Bdozen kwenye kipindi cha XXL cha Clouds Fm kunaenda kurejesha mvuto wa kipindi hicho

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini mama ubayaa ndo alimkuta mwenzake mbelee, anajua walianzia wapiii? Na hawaachani wale kamwee.

Hivi unajua Mapunga wewe walivyo? Mbona B12 hajakaa kipunga? Acheni kumsingizia.....Ukimuona Dr Kumbuka ,Ukimuona Lokole ,Ukimuona James Delicious hauwezi kuuliza kama jamaa upinde ila kwa B12 yupo kigentlemen.
 
Ni chakula kitambo
 
"Wengine wapiga chuma na hawana marinda" -Mbosso.
 
Hivi unajua Mapunga wewe walivyo? Mbona B12 hajakaa kipunga? Acheni kumsingizia.....Ukimuona Dr Kumbuka ,Ukimuona Lokole ,Ukimuona James Delicious hauwezi kuuliza kama jamaa upinde ila kwa B12 yupo kigentlemen.
Usikariri wapo waliokaza kiume kabisa, wengine wana familia mke na watoto.

Wengine ni washkaji zako ila wanakwenda kupigwa mbali ili usijue
 
Katika kitu watu hawajui ni kuwa kila mtu na kila kitu kina wakati wake, Mr. Nice alikuwa anaimbaga nini lakini aliwika hadi nje ya nchi. Wakati ndio mchawi.

Hata biashara zina wakati pia.
 
Hivi unajua Mapunga wewe walivyo? Mbona B12 hajakaa kipunga? Acheni kumsingizia.....Ukimuona Dr Kumbuka ,Ukimuona Lokole ,Ukimuona James Delicious hauwezi kuuliza kama jamaa upinde ila kwa B12 yupo kigentlemen.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani kila punga lazima awe km kina delicious, yule afande rama bila video kuvuja, kuna angeamini km analiwa??

Basi kwa taarifa yako sasa wengi wa gays ni hawa wanaonekana ni lijariii. Na sio yeye pekee wako wengi mnoo

Bas ndo ngoma ya majay hiyooo.
 
Zilipendwa.

M/me anayefukuliwa hajifichi hata akipiga chuma unaona kabisa ni lonyo lonyo.
Huna unalolijuaaa, nyoro nyoro ni mtu anaamua kuwa hivyooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio sababu ya kuinamishwaaa.
 
Usikariri wapo waliokaza kiume kabisa, wengine wana familia mke na watoto.

Wengine ni washkaji zako ila wanakwenda kupigwa mbali ili usijue
Anajifanyaa mjuajii huyo, kumbe hana anacho kijuaa, ndo kaniacha hoii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aulize vizuri aambiwee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani kila punga lazima awe km kina delicious, yule afande rama bila video kuvuja, kuna angeamini km analiwa??

Basi kwa taarifa yako sasa wengi wa gays ni hawa wanaonekana ni lijariii. Na sio yeye pekee wako wengi mnoo

Bas ndo ngoma ya majay hiyooo.

Una Proof au ndiyo Da Mange Kasema? Kama alisema kwamba Lulu ana Miwaya ila baadae Mange akaja kukanusha Je na hiyo ya B12 akija kukanusha utasemaje? Mimi nitakuwa wa Mwisho kuamini kwamba B12 ni NGAPULILA.
 
Mie kuhusu mange hapana, kwan unadhan kuhusu huyu twangala na refer mange? ihuyu nna uhakika haswaa, sasa wee kutokuamini au kuamini ni suala lako binafsi, na sipo kukuaminisha.

Kazi kwakooooo.
 
Huyo dogo mnampa sifa asizostahili ni presenter wa kawaida Sana na Hana uspecial wowote Bora hata Adam mchomvu anachangamsha kipindi kwa stori zake.

Sijawahi muelewa huyo dogo Kuna watu wasipokuwepo kwenye kipindi unaona kweli kipindi kimepoa ni sawa na kukosekana mussa Hussein kwenye kipindi Cha jahazi clouds huwa naona kipindi hakina mvuto na huwa sisikilizi
Ukwel n kwamba hakuna wakat jahaz lilikua tamu kama ule wakat WA Efrem kibonde (r.i.p) mussa Hussein
Palikua patamu Sana hapa aisee
 
Back
Top Bottom