Kurejeshwa kazini

Kurejeshwa kazini

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Wadau, nilipost habar ya kureshwa kazini kipindi cha nyuma.

Kwa Sasa nimepata maelezo ya kunisisitizia nionapo tangazo niombe, Sasa nashindwa kuelewa sijui nimefanyiwa kiini macho au laa; kwa sababu ajira kutangazwa lazima kuwe na interview na mimi wananiambia niombe tangazo nilionapo.

Tufanye nimeomba wananiita kwenye usaili je nikifeli na mimi nilihitimu chuo enzi hizo itakuwa ni kureshwa gani huko.

Au tuseme nikiomba tu wananirejesha bila kuniita kwenye usaili au nitakapoitwa wananifanyia usaili nifeli nisifeli narejeshwa?

NB: Kumbuka naambiwa hiyo ni sehemu ya utaratibu wa kurejeshwa kazini.
 
Mbona sikuelewi kijana.
Jieleze vizuri unafanya wapi kazi
Kwa Nini uliacha kazi na Sasa unataka kurejeshwa kazini
 
Back
Top Bottom