Kurejeshwa upya kazini

Stretcher

Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
34
Reaction score
24
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.
 
Kwasasa ni ngumu labda uwe na sababu za msingi sana kwanini hukuripoti kazini ila kama uliomba likizo isiyo na malipi basi endelea na likizo yako hadi ustaafu.
 
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.

Wewe bora walikufukuza kujieleza tu apa shida
 
Wewe bora walikufukuza kujieleza tu apa shida
Ww mimi kujieleza hapa tu sio shida nimejieleza vizur labda hukuelewa na sio bora walinifukuza, sikufukuzwa hata barua ya kufukuzwa sina.
 
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.
Kama wanazingua ingia kwenye siasa na uchawa😁😁 utarudishwa chapu kwenye utumishi kupitia siasa.
 
Kuna muda unakoswa majibu unayoyahitaji kwa kushindwa kujieleza vizuri.

Taratibu zinatofautiana za kurejeshwa kazini.

Sasa wewe hujasema kama ulifukuzwa, ulisimamishwa au uliomba likizo bila malipo au ulipatwa na shida gani. Sasa watu watakupaje majibu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…