Huwezi kumuuliza Mungu kwanini uliruhusu Adamu ale tunda na huku unajua litokealo mbeleni ?Karibu mkuu
Haki umenena vyemaBinafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
Yaani nina maswali mengi na muhimu, nikitulia ntaanzisha uzi wangu na kukutag ili tusichafue uzi wa mleta mada. Swali la mleta mada ni zuri sana,Huwezi kumuuliza Mungu kwanini uliruhusu Adamu ale tunda na huku unajua litokealo mbeleni ?
Akala tunda akagundua yuko uchi na ndipo ikaja kitu inaitwa sex(Kutiana) ukatupa na adhabu wanadamu. Kwanini????
Mimi ukristo naujua vizuri.
Na naona uko sawa sana kwa sababu hauna sheria, sheria ni moja tu labda.
Mambo haya magumu sana mkuu, tuombe uzima ntakuja na maswali na maoni ambayo wengi hawajawahi jiuliza lakini yana make sense (kwa mtazamo wangu) kwa thread yangu ili tujadili hili kwanza.[emoji1783][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]aisee Kula gwara mkuu[emoji109]
Yaani nina maswali mengi na muhimu, nikitulia ntaanzisha uzi wangu na kukutag ili tusichafue uzi wa mleta mada. Swali la mleta mada ni zuri sana,
Mambo haya magumu sana mkuu, tuombe uzima ntakuja na maswali na maoni ambayo wengi hawajawahi jiuliza lakini yana make sense (kwa mtazamo wangu) kwa thread yangu ili tujadili hili kwanza.
Binafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
Sawa mkuu, ila itakuwa j4 next week ili niweke kwenye mpangilio mzuri na wa kueleweka kirahisi, ukizingatia mimi siyo mwandishi achilia mbali mwandishi mzuri. Hii inanipa moyo kuwa naweza spend muda kuandika maswali/maoni yangu na kuna watu watasoma na kujibu kadili ya uwezo/ufahamu wao.Usisahau kunitag na mimi.
Kweli lakini mkuu kwa hapa tujadili swali au hoja ya mleta uzi ili tusiwe na mada ndani ya mada.The very first question unayopaswa kujiuliza: How am I alive, even!???
Poa, wewe andaa tu, siku yoyote.Yaani nina maswali mengi na muhimu, nikitulia ntaanzisha uzi wangu na kukutag ili tusichafue uzi wa mleta mada. Swali la mleta mada ni zuri sana,
Sawa mkuu, uko vizuri sana mkuu kwenye kufikiri nje ya boxPoa, wewe andaa tu, siku yoyote.
Ila pia mimi ndie mwanzilishi wa (thread)uzi huu.
Pia nikuache na jambo moja la msingi.
Ni heri uwe Tajiri mpumbavu, kuliko kuwa masikini mpumbavu (au mjinga)
Mungu alipomuumba mwanadamu (roho ya mwadamu)
alimpulizia pumzi yake akawa nafsi iliyo hai. Na katika nafsi ndipo zinakaa akili..
Si tu kuishi vizuri kunahitaji akili hata kumjua Mungu na mbinu zake kunahitaji akili.
Ishugulishe akili yako sanaaa tena sanaaaaaa.
Akili mtu wangu.
Mwalimu darasani au jamii ikikwambia Bangi ni mbaya vijana hamfai kuvuta bangi, je ni kweli ni mbaya ???
Chunguza kweli bangi ni mbaya je ina madhara gani ??
Tusikubali kuwa na mawazo ama fikra za kubebeshwa na mtu fulani, bila sisi wenyewe kuchunguza pande zote na kucompare data.
Mungu humuongezea mwanadamu akili (hekima na maarifa) je umewahi kuwa na juhudi za kumuomba Mungu jambo hilo ama umepuuza na kujiona akili yako iko sawa na inajitosheleza..?
Ni hivo tu mkuu, Mungu kanisii niishi kwa Matumaini, natumainia mazuri mengi mbeleni, so tumaini nililonalo ndilo linanipa furaha siku zote na kunifanya nisikate tamaa kwa lolote, na nikisahau najua Mungu lazima anikumbushe.
Bravo.Poa, wewe andaa tu, siku yoyote.