Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

Hizi connection mbona wengine hawazipati?.

Yaani huko X watu wanalipwa kumtukana jemedari wa nchi haya huku napo mnalipwa aondoke 'how'?.

Tupeni conexion na sisi tuanze kuandika kwa lugha ngumu 😆!.
 
Ni kweli tunaweza kuona mambo yamemshinda lakini katiba inamruhusu kugombea na akishinda aongoze kwa awamu moja ya miaka mitano tu.
 
Alijichimbia kaburi baada ya kuaminishwa anaongoza awamu ya sita wakati ki uhalisia ni awamu ya tano, sasa vita kubwa ipo kwenye kigezo cha dini, awamu ya tano iliongozwa na mgalatia awamu ya sita (feki) inaongozwa na mvaa kobasi, sasa ikitokea mama akaachia madaraka awamu hii inategemewa anayepitishwa na chama awe mgalatia kitua ambacho kuna wavaa kobasi wa chama wanapinga kwa kusema hii bado ni awamu ya tano na kiongozi wake alikuwa mgalatia ila huyu aliyepo sasa hivi ni ''zali la mentali'' tu, vivyo hivyo akipendekezwa mvaa kobasi mwingine tofauti na mama kuna wagalatia wa chama wanasema inawezekanaje wavaa kobasi watuongoze katika awamu mbili mfululizo? kwahiyo ili kuua so ni bora mama aendelee ili kuizika awamu yake ya sita kisha ngoma irudi kwa wagalatia. Kuna vitu huwa havipo kikatiba ila ni utaratibu rasmi wa kikundi cha wezi wa rasilimali za taifa hili (Chama Cha Majambazi). Zimwi likujualo halikuli likamaliza. Huo ndio ukweli mchungu
 
Mkiwa nyuma ya kiibodi mnavyopayuka sasa! Akitokea mtu akawaandalia hata maandamano tu mnaufyata kama sio nyie.

Hawa watu hawawezi kuondoka kwa kupayuka kwenu mitandao
Sasa hii ndo comment
Tunakua wanajeshi kwenye keybord tukiwa tumejifungia vyumban af tunategemea ni rahis kuondoa mtu madarakan kwa kuwa keyboard warrior
 
Ukitaka kujua madaraka ni matamu muulize mbowe miaka 20 kang'ang'ania kuwa mwenyekiti wa chama na hana dalili ya kutoka
 
Back
Top Bottom