maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Ni shida tu ki2c. Kila siku naona watoto wadogo wananunua ice cream wanatafuna na vinailon vile mpaka vinakuwa unga. Wizara husika zipo zipo tu. Hata kutoa matangazo redioni na kwenye runinga kuhusu madhara ya hizo tabia hawataki. Kama vile inafika sehemu haamini kuwa establishments huwa zinapenda afya mbaya za watuYaani kama huna ulazima wa kula humu sehemu wanazouza vyakula,ni heri usile,kwani baadhi yao hufunika wali kwa manailoni,aisee ambapo ni hatari, na mamlaka zipo tu.
Tuombe wizara ya mazingira au ya afya wachukue hatua. Tutajaza ocean road hospital bureHii ya kufunika chakula na karatasi za nailoni ipo sana kwa hawa mama ntilie na kiafya ni hatari sana lakini eti waziri wa mazingira yupo wale bwana afya wa kata/wilaya/mkoa wapo hawaoni kama hii ni shida.
Tuombe wizara ya mazingira au ya afya wachukue hatua. Tutajaza ocean road hospital bure
Ndio utaratibu tuliouweka kuwa wale wasipate kero. labda inaweza kuathiri muungano. Kumbuka wakati ule wa KERO za muunganoHii hatari na matibabu pale yamekuwa ghali sana sikuhizi wengi wanashindwa kumudu ila kuna siku jamaa yangu alikiwa pale wenzetu wa upande wa visiwani wanakuja na barua tu wanapatiwa matibabu bure nilishangaa mno. Kwahiyo kuna raia wa upende mwingine wanaweza kupatiwa matibabu bure kabisa na wengine wanapaswa kulipia?