Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Mwambie binti Mtambuzi kuwa kusameheana katika maisha ni muhimu.
muhimu ila kusamehe kwenye mahusiano sio lazima mrudiane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie binti Mtambuzi kuwa kusameheana katika maisha ni muhimu.
ooh sis, husamehi?
Mwambie binti Mtambuzi kuwa kusameheana katika maisha ni muhimu.
Sisy wangu,huwa nasamehe ila c kurudiana aisee!na huwa nampa mtu mda akajifikirie kabla ya kutoa maamuzi ili tucje tukasumbuana!na mie nikifikia hapo ujue crudi nyuma na ninakua na uhakika ctajutia maamuzi yangu kwan hua ckurupuki!
mi hapa nina ushahidi pia,Nina ushuhuda wa mtu aliyeolewa na baada ya mambo kwenda kombo akamrudia aliyembwaga kabla ya kuolewa.......wakati yungali katika ndoa.......so sad
haya mpenzi, mi hayajanikuta ya kuachana.
Omba mungu yasikukute ndugu yangu!maana km huna moyo wa ujasiri waweza fanya mambo ya ajabu!mbaya zaidi ukiachwa japo hata ukiacha kuna wakati roho inauma pia!
Mtu akiniacha kwa namna yoyote then nikaumia alafu nikapona,wala asijisumbue kuja kuomba kurudiana huwa ckubali hata km nilimpenda vp,na mie nikifikia maamuzi ya kuachana na mtu,hata iweje crudian naye!labda km ni kugombana kwa kawaida tukachuniana kidogo mmojawapo akagundua aliharibu hayo yanaongeleka na maisha yanaendelea!lkn tukiachana na mie nikakubali hapo ndio imetoka ivo!
mm ndo maisha ninayoishi...kuachana na kurudiana...inautam wake...tena mm ndo huwa nachokoza!!
mi nina roho ngumu, sitoumia. Lol.
Canty
nimependa ulivyoelezea...afu dizain kama nakuona vile...na kashingo umekaweka upande unamwaga hisia zako jamvini...we mkareeee!..
Hahahaha!salama lkn shem?asante kwa kupenda nilichoandika ndio nilivo mie,nikitema au kutemwa ndio ntolee huwa crudi nyuma!yule wifi yetu mpya hajambo?
bila shaka una tatizo la kisaikolojia
Katika zama hizi za HIV/AIDS hakuna kitu cha hatari kama baby come back ,maana chances are excitement itawafanya mparamiane bila kinga wala kwenda angaza.
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.
Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.
Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......[/QUOT
Kurudiana ni sawa na kula matapishi!