Kurudiana.......

Kurudiana.......

Inategemea na sababu ya kutengana kwenu kwa kweli.
Pia inategemea muda gani umepita toka m bwagane, maana huwez jua baada ya kutengana aliishi maisha gani, i mean life style.

Usalama wa afya na mengine mengi.

Tafakuru ya kina inahtajika kabla ya kuamua kufanya maamuz ya kurudiana.
 
ooh sis, husamehi?

Sisy wangu,huwa nasamehe ila c kurudiana aisee!na huwa nampa mtu mda akajifikirie kabla ya kutoa maamuzi ili tucje tukasumbuana!na mie nikifikia hapo ujue crudi nyuma na ninakua na uhakika ctajutia maamuzi yangu kwan hua ckurupuki!
 
Sisy wangu,huwa nasamehe ila c kurudiana aisee!na huwa nampa mtu mda akajifikirie kabla ya kutoa maamuzi ili tucje tukasumbuana!na mie nikifikia hapo ujue crudi nyuma na ninakua na uhakika ctajutia maamuzi yangu kwan hua ckurupuki!

haya mpenzi, mi hayajanikuta ya kuachana.
 
Nina ushuhuda wa mtu aliyeolewa na baada ya mambo kwenda kombo akamrudia aliyembwaga kabla ya kuolewa.......wakati yungali katika ndoa.......so sad
mi hapa nina ushahidi pia,
kuna ndugu yangu alioa wakakaa na mkewe kama miaka 3 hv na kupata mtoto 1, wakapigana chini bro akaoa mke mwingine wakazaa mtoto 1( Hakuwahi kufunga ndoa kwa vipindi vyote 2) wakakorofishana na huyu mke wa pili, wakati huo yule wa kwanza alikuwa hajaolewa wala kuzaa. Akaamua kumrudia yule wa kwanza akaenda kanisan na kufunga ndoa, sasa ndoa yao ina kama miaka 8 hiv na ameongeza tena watoto 2. Maisha yanaenda ss tulibaki tunaduwaa na kujiuliza maswali mengi ambayo mpaka sasa hiv hayana majibu, ila kwa wale ambao walikuwa na iman finyu walibakia wakisema kuwa mwanamama alienda kwa kalimanzila akamfanyia mambo ili arudiane na bro.
 
Omba mungu yasikukute ndugu yangu!maana km huna moyo wa ujasiri waweza fanya mambo ya ajabu!mbaya zaidi ukiachwa japo hata ukiacha kuna wakati roho inauma pia!

mi nina roho ngumu, sitoumia. Lol.
 
Mtu akiniacha kwa namna yoyote then nikaumia alafu nikapona,wala asijisumbue kuja kuomba kurudiana huwa ckubali hata km nilimpenda vp,na mie nikifikia maamuzi ya kuachana na mtu,hata iweje crudian naye!labda km ni kugombana kwa kawaida tukachuniana kidogo mmojawapo akagundua aliharibu hayo yanaongeleka na maisha yanaendelea!lkn tukiachana na mie nikakubali hapo ndio imetoka ivo!

Canty
nimependa ulivyoelezea...afu dizain kama nakuona vile...na kashingo umekaweka upande unamwaga hisia zako jamvini...we mkareeee!..
 
Kama mliachana kwa jambo ambalo linaweza kusameheka.kurudiana ni vizuri.lla muhakikishe hakuna kinyongo kati yenu wawili baada ya kurudiana.if its hard,bora kubreak forever..
 
Canty
nimependa ulivyoelezea...afu dizain kama nakuona vile...na kashingo umekaweka upande unamwaga hisia zako jamvini...we mkareeee!..

Hahahaha!salama lkn shem?asante kwa kupenda nilichoandika ndio nilivo mie,nikitema au kutemwa ndio ntolee huwa crudi nyuma!yule wifi yetu mpya hajambo?
 
Ingekuwa kurudiana dhambi basi tungeambiwa tukiwacha wake zetu basi ni talaka moja tu sio tatu...ukitazama sana kuna baadhi ya talaka zina faida, ukiona mwanamke ana mdomo sana unampiga talaka moja hapo inamshtua kidogo akli zake zinakaa sawa haombi zingine, mana hawa wanawake wengi sana wanapenda kuomba talaka, hasa wale dini zero...Ingekuwa talaka zinatolewa na wanawake, mbona dunia hii ndo nyingi zingekuwa mashakani :violin:
 
Hahahaha!salama lkn shem?asante kwa kupenda nilichoandika ndio nilivo mie,nikitema au kutemwa ndio ntolee huwa crudi nyuma!yule wifi yetu mpya hajambo?

shem wifi ni nomaa!...ila kunakitu nina wasiwasi nacho...muandiko wake mbona kama wakiume?sio kidume kweli hiki..?
 
Neno kuntu, ila kuna mtu mmoja akikubali namrudia fasta.

(ReShanga)

Katika zama hizi za HIV/AIDS hakuna kitu cha hatari kama baby come back ,maana chances are excitement itawafanya mparamiane bila kinga wala kwenda angaza.
 
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.

Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.

Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......
[/QUOT

Kurudiana ni sawa na kula matapishi!
 
kuachana na kurudiana kuna utamu wake bwana..especially kama wote bado mnapendana na mnahitajiana
 
ngoja nijipitie zangu tu hapa.(Reason;huwezi kurudia matapishi ,kusameheana ni muhimu na kukumbushia yalee mambo yetu hutokeaga sana):scared:
 
Back
Top Bottom