Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Kwani una taarifa za kitakachojiri tarehe 28/08/2025 pale Tanganyika Packers Kawe?Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao.
Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha fomu yake.
Kwa nini chama tawala hakitoi ratiba wala taarifa yeyote juu ya tukio hili kubwa linalogusa mustakabali wa taifa?
Au kimya hiki ni mkakati wa makusudi kutengeneza “surprise” kubwa ya kisiasa?
Je, mafukuto ya ndani ndio sababu ya kuchelewesha mchakato huu?
Wakati wagombea wengine wakisonga mbele, urudishwaji wa fomu ya Samia unaendelea kubaki kitendawili.
Wananchi tusubiri hadi lini kupata majibu?
No ni ZEREU!Itakuwa wamesahau
Kesho tarehe 27 na kampeni ni tarehe 28 kuanza rasmiKwani mwisho lini wa kurudisha? 😂
Hiyo pia inaruhusiwa na Tume?Yawezakuwa alimchukulia mwingine ambaye ndiye atarudisha fomu hiyo mwishoni!
Hii inawezekanaje??No ni ZEREU!
Wanaona watajichiresha kwa vijaragosi vya Tume ya mchongo.
Anyway, HATOGOMBEA
Sio kwa nchi hii bro!!No ni ZEREU!
Wanaona watajichiresha kwa vijaragosi vya Tume ya mchongo.
Anyway, HATOGOMBEA
😂Nyumbu bwana, hakuogopa kuchukua fomu mbele ya vitisho vya yule njiti aliyebemendwa ndo aogope kurudishia?!!!! Shenzy type.......
Akikujibu nistueHiyo pia inaruhusiwa na Tume?
Sio kawaida yao kuwa kimya kwa muda mrefu hiviWanajipanga mkuu, kumbuka kuna kuratibu kusomba watu kutoka pande zote za nchi....usichukulie poa!!.
Tume ipi?Hiyo pia inaruhusiwa na Tume?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani shida iko wapi mkuu? Si mtaje siku mtakayorudisha fomu tujue!Niseme tu..MTOA post ni mwehu