GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tume ipi?

Nenda kwenye katiba hakuna kitu inaitwa INEC.

Kila kitu kinachoendelea sasa kuhusu uchaguzi ni batili.
Au ndio maana hawajarudisha fomu mpaka sasa!!.

Au ndio ule mchakato wa Reforms unaendelea ili Chadema washiriki uchaguzi..
 
Halijafa kwani?
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lenye nguvu, pigo lililonyooka, pigo takatifu, asema Bwana wa Majeshi !!!!
 
Lucas Mwashambwa na genge lake waje watupe majibu!!
 
Sa we nae mtu achukue form ashindwe irudisha wakat kura zishapigwa tayar yy anauhakika ni rais ajaye ni swala la muda tu
 
Nyumbu bwana, hakuogopa kuchukua fomu mbele ya vitisho vya yule njiti aliyebemendwa ndo aogope kurudishia?!!!! Shenzy type.......
Ninyi ndio mnaosababisha rais nae atukanwe, ya nini kuanzisha ligi ya matusi si ukomentu tuu kistaarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…