Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

Mabeberu wamefanya kazi nzuri sana katika kuibana serikali.MaCCM yanaruhusu hawa malaika kurudi shule kishingo upande huku yakiwa yamenuna😁😁😁

Ninyi serikali haramu nuneni, kasirikeni, fokeni, lakini mtoto wa kike lazima apate elimu bila ya ubaguzi wowote ule🤗🤗🤗

89a_.jpg
 
Na hii nchi imejaa watu wengi zaidi wenye akili kama za hili dude Idugunde ndio maana hata maendeleo yanakuja kwa mwendo wa Kinyonga.
Ulivyompuuzi unadhania maendeleo ni kuruhusu watoto wasio na maadili kurudu shule.
 
Wewe mpuuzi umekariri hilo neno maadili kama Kasuku, hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria ndio maana unaona viongozi wako wana michepuko, wanakunywa pombe, wanavuta sigara na bado wako madarakani.

Michupuko,kunywa pombe, na kuvuta sigara ni kosa la jinai ?
 
Kipi bora?

Binti arudi shule apate elimu itakayomkomboa kutoka kwenye umasikini wa kifikra na aweze kufanya maamuzi yenye tija kwake na kwa waliomzunguka?

Au tumuache mtaani vijana wajipigie na hatimae binti huyu atazalishwa tena na tena na kuna uwezekano tukapata watoto wengi wa mtaani kama tukimuacha binti huyu bila elimu.

Mtu mmoja amepata kusema mbona wagonjwa wa ukimwi wanapewa ARV Hii haiwezi kuwashawishi vijana wafanye ngono nzembe kwa sababu kuna kimbilio tena ni bure? Mbona huku hatusemi na tunafahamu kabisa karibia 70% ya wanaopata huu ugonjwa ni kwa kuendekeza ngono au umalaya.

Kwanini tumnyime elimu huyu binti ambae kiakili hajapevuka kiasi cha kuweza kupambana na vishawishi vya wanaume waliomzidi kiumli, kiakili na kiuchumi?
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Wewe ni bonge LA Poyoyo, hufikirii kuhusu watoto wanaobakwa na hawaezi kusema, vishawishi wanavyokumbana navyo, umaskini uliokithirii na mengine. Wewe unaongea ujinga hapa, mpuuzi
 
Kubakwa na mimba ikaingia ni suala lingine.

Lakini Education Act inasemaje kuhusu kumpa mimba mtoto?
 
Ukiona mtu maneno “Ukoloni mamboleo, mabeberu” yamemkaa sana mdomoni zama hizi nayo sio kiashiria kizuri..
 
Fikiria jamii ambayo ni halali kuoa binti mwenye miaka 13 lakini inashangaa wa miaka 14 kupata mimba.

Fikiria jamii ambayo inaamini mimba zote ni kutokana na uhuni wa mabinti zao.

Fikiria jamii ambayo inaamini kuwa mimba inaambukizwa.

Fikiria jamii ambayo haitaki kuwapa watoto wake elimu ya miili ( ambayo mabibi na mababu zao walikuwa wakiitoa) halafu wanashangaa wanapopata mimba.

Fikiria jamii yenye tatizo kubwa la mimba za utotoni ( sio kwa wanafunzi peke yao) lakini haitaki kuwapa contraceptives.
Fikiria jamii inayoamini watoto wote wanaofukuzwa shule ni wavuta bangi na wanastahili kufukuzwa.

Fikiria jamii inayoona heri kukosa mkopo utaowasaidia kujenga shule kwa ajili ya watoto kuliko kuruhusu binti aliyepata uja uzito kuendelea na masomo.

Baada ya kufikiria hivyo jiulize tena kwa nini nchi hiyo bado ina umasikini wa kutupwa miaka 60 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mabeberu.

Amandla...
Duh. Mbona umeijibu hii mbuzi kistaarabu hivyo?
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa Elimu ni moja ya haki za binadamu.
Elimu nimoja kati ya mambo ambayo ni haki za binadamu.
Acha ujinga!
wakoloni namna hii?
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Ukute kwenu kuna binti alidungwa mimba na mkarudisha shule sasa hivi una payuka humu
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Unajua wewe huna akili,huyo binti asiye na maadili alibebaje mimba bila kutiwa na mwanaume? Acha upumbavu wewe.

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
on a serious note.....huwezi kumnyima mtu nafasi ya pili sababu aliharibu nafasi ya kwanza.....tena kwahao walio watoto tu.....

Kuvuta bangi, mimba etc sio makosa ya kuwakatia watoto tamaa.
Ni kweli....kumrudisha tena shule ni kumpa nafasi ya kurekebisha makosa yake na kupunguza idadi ya wategemezi kwa siku zijazo.
 
Acheni mawazo mgando mkajiona nyie ni muhimu sana kuliko wengine.Nani ambaye hajawai kua mimba ili leo mjifanye mnajali sana sheria kuliko mimba.Kwani nchi hii ina jambo gani jipya imepata ililonalo tulipokua tunakataza waliopata mimba kuendelea na masomo?.Ni bora kutengeneza taifa la kila mtu kupata elimu kuliko kua na taifa tunaloendekeza ujinga wakubaguana kisa mimba ambayo ni mpango wa Mungu.Hili taifa lipo miaka mingi ijayo kwahiyo tujaribu kukimbizana na nyakati badala ya kuwekeana misimamo isiyo na faida.Manufaa ya kuzaa na shule ni muhimu zaidi kuliko hizo sheria tulizoziweka wenyewe.wacha watoto wakike wasome.
 
Back
Top Bottom