Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ulivyompuuzi unadhania maendeleo ni kuruhusu watoto wasio na maadili kurudu shule.
Michupuko,kunywa pombe, na kuvuta sigara ni kosa la jinai ?Wewe mpuuzi umekariri hilo neno maadili kama Kasuku, hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria ndio maana unaona viongozi wako wana michepuko, wanakunywa pombe, wanavuta sigara na bado wako madarakani.
Michupuko,kunywa pombe, na kuvuta sigara ni kosa la jinai ?
Wewe ni bonge LA Poyoyo, hufikirii kuhusu watoto wanaobakwa na hawaezi kusema, vishawishi wanavyokumbana navyo, umaskini uliokithirii na mengine. Wewe unaongea ujinga hapa, mpuuziFikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Kubakwa na mimba ikaingia ni suala lingine.Wewe ni bonge LA Poyoyo, hufikirii kuhusu watoto wanaobakwa na hawaezi kusema, vishawishi wanavyokumbana navyo, umaskini uliokithirii na mengine. Wewe unaongea ujinga hapa, mpuuzi
Duh. Mbona umeijibu hii mbuzi kistaarabu hivyo?Fikiria jamii ambayo ni halali kuoa binti mwenye miaka 13 lakini inashangaa wa miaka 14 kupata mimba.
Fikiria jamii ambayo inaamini mimba zote ni kutokana na uhuni wa mabinti zao.
Fikiria jamii ambayo inaamini kuwa mimba inaambukizwa.
Fikiria jamii ambayo haitaki kuwapa watoto wake elimu ya miili ( ambayo mabibi na mababu zao walikuwa wakiitoa) halafu wanashangaa wanapopata mimba.
Fikiria jamii yenye tatizo kubwa la mimba za utotoni ( sio kwa wanafunzi peke yao) lakini haitaki kuwapa contraceptives.
Fikiria jamii inayoamini watoto wote wanaofukuzwa shule ni wavuta bangi na wanastahili kufukuzwa.
Fikiria jamii inayoona heri kukosa mkopo utaowasaidia kujenga shule kwa ajili ya watoto kuliko kuruhusu binti aliyepata uja uzito kuendelea na masomo.
Baada ya kufikiria hivyo jiulize tena kwa nini nchi hiyo bado ina umasikini wa kutupwa miaka 60 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mabeberu.
Amandla...
Elimu nimoja kati ya mambo ambayo ni haki za binadamu.Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa Elimu ni moja ya haki za binadamu.
wakoloni namna hii?
Inasema Wewe ni mpumbavu! I am done with you maana unajitoa ufahamu tuKubakwa na mimba ikaingia ni suala lingine.
Lakini Education Act inasemaje kuhusu kumpa mimba mtoto?
Anajibiwa kistaarabu ndio maana anaropokwa tuElimu nimoja kati ya mambo ambayo ni haki za binadamu.
Acha ujinga!
Ukute kwenu kuna binti alidungwa mimba na mkarudisha shule sasa hivi una payuka humuFikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Unajua wewe huna akili,huyo binti asiye na maadili alibebaje mimba bila kutiwa na mwanaume? Acha upumbavu wewe.Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Ni kweli....kumrudisha tena shule ni kumpa nafasi ya kurekebisha makosa yake na kupunguza idadi ya wategemezi kwa siku zijazo.on a serious note.....huwezi kumnyima mtu nafasi ya pili sababu aliharibu nafasi ya kwanza.....tena kwahao walio watoto tu.....
Kuvuta bangi, mimba etc sio makosa ya kuwakatia watoto tamaa.
Nadhani haelewi hicho alichoita uhuni ni kubakwa kwa tafsiri ya kisheria hasa pale huyo aliyefanya naye uhuni ni wa zaidi ya miaka 18.Unajua wewe huna akili,huyo binti asiye na maadili alibebaje mimba bila kutiwa na mwanaume? Acha upumbavu wewe.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app