Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Shuleni hawaendi kupata mimbaFikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Kupata mimba ni swala la malezi ya mzazi .
Hujawahi kuona sehemu ni mjini sana au kijijini sana lakini
Kuna familia zinazingatia malezi sana ni muhimu sasa Tubadili mitazamo juu ya wanafunzi kupata mimba.
Vizuri familia kuwa na misimamo ya maadili.
Na sio kuangali Netflix na watoto while kuna vitengo .