Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Shuleni hawaendi kupata mimba
Kupata mimba ni swala la malezi ya mzazi .
Hujawahi kuona sehemu ni mjini sana au kijijini sana lakini
Kuna familia zinazingatia malezi sana ni muhimu sasa Tubadili mitazamo juu ya wanafunzi kupata mimba.

Vizuri familia kuwa na misimamo ya maadili.
Na sio kuangali Netflix na watoto while kuna vitengo .
 
..tunatumia trillion of shillings za walipakodi kununua midege toka kwa mabeberu.

..halafu tunarudi kuomba mikopo yenye masharti ya kidhalilishaji toka kwa haohao mabeberu kwa ajili ya elimu.

..tatizo sio mabeberu, tatizo ni viongozi wetu.
Good point by bro.
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Hizi idea zako za kipuuzi kaa nazo mwenyewe na usirudie tena kutuletea huu ugoro, tutakufungia
 
Lengo ni kupunguza rate ya ufataki,isipofanywa hivyo watu awatoogopa kuwamimba wanafunzi.

Japo kumfunga baba kisa kampa mimba mama pia ni ukatili kwa mtoto atakezaliwa maana atauliza mama baba yupo wapi yupo jela kwa kosa gani alinipa mimba Ili uzaliwe wewe mtoto atauliza Ina maana baba kunizaa ni kosa?

Hili jambo linataka mjadala
Duuh,
Nilikuwa naunga mkono kufungwa jela mwanamume aliyempa Mimba mwanafunzi hata kwa miaka mingi Sana!

Ila ulichoandika hapa UMENIAMINISHA kuwa kuzaa mtoto haipaswi kuwa kosa la jinai!

Yaani mtoto amezaliwa, anaenda msikitini au kanisani kumshukuru MUNGU kwa uhai aliopewa, halafu anaambiwa baba yake amefungwa kwa kosa la kumzaa yeye!

Baba aliyempa mwanafunzi Mimba apewe jukumu la kusimamia huduma ya elimu ya msichana aliyempa Mimba pindi akirejea shuleni, na asipoweza afungwe kwa kosa Hilo, na sio la kusababisha ujauzito
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Wee acha tu ndugu yangu, huko mashuleni watoto watakuwa wanajadili tu mapenzi maana imekuwa ni ruksa.......nguvu ya bilioni 600.
 
kaka unapotosha umma, futa kauli kwamba kila binti anayebebeshwa ujauzito ni malaya na kila kijana anayembebesha binti ni mvuta bangi. sababu zipo nyingi sana hadi hawa mabingi wanafikia hatua hii.

Mwendazake hakuwa sahihi, naunga mkono hoja wasichana hawa wadogo wengi wao ni under 18 warudi mashuleni wakishajifungua kuendelea na masomo yako kutimiza ndoto zao za kimaisha.
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
eti binti asiye na maadili....huyo binti alijipanua barabarani akajitangaza au alipata hiyo mimba kwa upepo? Huyo aliyemtia mimba binti wa shule ana maadili gani.

ungekuwa unaweza kutumia hata sehemu ndogo tu ya ubongo wako usingeandika upuuzi huu.
 
Wee acha tu ndugu yangu, huko mashuleni watoto watakuwa wanajadili tu mapenzi maana imekuwa ni ruksa.......nguvu ya bilioni 600.
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. ikiwa kwenu ni watu wa kutokatoka hovyo hovyo, hamna malezi ya maana kwa watoto, watoto wenu watajadili yale waliyoyaona kwenu ninyi watu wazima
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Ushawahi kujiuliza binti huyo huyo aliyepata mimba kama ana malezi mazuri, huoni kuwa taifa limepoteza mchango mkubwa wa kiakili?.

Vipi kuhusiana na mwanaume anayempa mimba huyu msichana, kitu gani kinamkuta?. Taifa linamfanya nini kwa kuyavuruga maisha ya mwanafunzi?.

Tuangalie zaidi ya bilioni 600, tuangalie ni vipaji vingapi vya wasichana vinapotelea mtaani kisa uja uzito. Tuyapime haya masuala nyeti kwa mzani wa haki wenye usawa.
 
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. ikiwa kwenu ni watu wa kutokatoka hovyo hovyo, hamna malezi ya maana kwa watoto, watoto wenu watajadili yale waliyoyaona kwenu ninyi watu wazima
Mkuu hayo maadili mbali na kufundishwa nyumbani watoto waliendelea kufundishwa swala zima la maadili shuleni, sasa kama kufanya mapenzi hadi kupata ujauzito imekuwa ruksa kwa watoto wa shule ni jambo gani unatarajia hata kama umewapa malezi hao watoto huko nyumbani, au labda utawafungulia shule yao wenyewe.
 
Kwani mtu akizaa anakuwa amepata ukoma kiasi kwamba hatakiwi kushiriki kwenye jamii, au anageuka anakuwa kirusi?
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Sasa mabinti itakua ni kuchapwa matango tu maana wanajua tutarudi shule tu.
Nachoka kabisa
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
mleta uzi una akili ya kupumbavu sana. kwa hiyo unaamini wale ambao hawajapata mimba hawafanyi ngono? na kama kufanya ngono ni kosa ndio unawapa adhabu ya kuwakoma wakose na elimu kabisa? hivi kwanini Tanzania bado tuna watu wenye akili za kiporipori kama hizi?
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Muwasamehe jaman watoto hawaaa
 
on a serious note.....huwezi kumnyima mtu nafasi ya pili sababu aliharibu nafasi ya kwanza.....tena kwahao walio watoto tu.....

Kuvuta bangi, mimba etc sio makosa ya kuwakatia watoto tamaa.
Tutegemee walimu kupigwa na hao wavuta bangi, kazi ya ualimu unaenda kuwa ngumu Sana kudeal na Hawa watu haitakuwa rahisi
 
Nguvu ya mabeberu nitaiamini pale serikali itakaporuhusu ndoa za machoko. Hapo mabilioni mtakayoyapata waTz lazima SGR iishe pamoja Na bwawa jipya la umeme la Nyerere. Na hapo wale viongozi machoko watakapojulikana.
 
Fikiria jamii ambayo ni halali kuoa binti mwenye miaka 13 lakini inashangaa wa miaka 14 kupata mimba.

Fikiria jamii ambayo inaamini mimba zote ni kutokana na uhuni wa mabinti zao.

Fikiria jamii ambayo inaamini kuwa mimba inaambukizwa.

Fikiria jamii ambayo haitaki kuwapa watoto wake elimu ya miili ( ambayo mabibi na mababu zao walikuwa wakiitoa) halafu wanashangaa wanapopata mimba.

Fikiria jamii yenye tatizo kubwa la mimba za utotoni ( sio kwa wanafunzi peke yao) lakini haitaki kuwapa contraceptives.
Fikiria jamii inayoamini watoto wote wanaofukuzwa shule ni wavuta bangi na wanastahili kufukuzwa.

Fikiria jamii inayoona heri kukosa mkopo utaowasaidia kujenga shule kwa ajili ya watoto kuliko kuruhusu binti aliyepata uja uzito kuendelea na masomo.

Baada ya kufikiria hivyo jiulize tena kwa nini nchi hiyo bado ina umasikini wa kutupwa miaka 60 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mabeberu.

Amandla...
Fikiria jamii inayopenda fedha za burebure toka kwa mabeberu ambazo zinaishia kuliwa na viongozi kwa kuzura zurura tu mara Dar mara Dom, mara kukimbizana na machinga.
 
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule

Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?

Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Pia fikiria huyo binti uliyemsema hapo baada ya kurudi shuleni akafauru sekondari kwa kungonoka na walimu akapata bahati high school na chuo hivyohivyo pia.

Akaenda chuo na akapata degree ya chupi, akala na wakubwa akalamba uteuzi. Unadhani uongozi wake utakua na mtazamo gani juu ya taifa lenye maadli na hofu ya Mungu?

Kama tumeamua hivyo kwanini tusiruhusu pombe na bangi pia mashuleni?

Samahanini ila nawaza kwa kina.
 
Back
Top Bottom