Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

Wasomi sahivi ndiyo wajinga kuliko wasio soma, nchi imekuwa ya kujipendekeza tupu
 
Wasomi sahivi ndiyo wajinga kuliko wasio soma, nchi imekuwa ya kujipendekeza tupu
Huwa najiuliza sana, maana naona kundi kubwa la machawa ni wale waliopitia enzi za kusema "zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM". Japo Nyerere aliwarekebisha walioibua usemi huu kwa kusema ni afadhali mngesema "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM", naona kama kuna watu hilo halikuingia akilini kabisa. Hadi leo wana mentality ya "zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM"
 
Mimi naamini yule ni adui yake sikuzote, ila kama anategemea awe chawa wake basi awe makini maana January sio fala kukubali kutumika kwa maslahi ya Mama na target zake kuelekea uchaguzi.
Kama ni hivyo, basi January Makamba ni one of the most intelligent politicians in Tanzania! Lakini I have serious doubts on that.
 
Kwasasa,
Makamba akubali kua sio Kila ndoto anayoota Ni lazima itimie.

Maisha hayakupi unachotaka,yanakupa unachostahili

Nnachomshauri,
Kwasasa awe mpole na apige Kazi Sana Kama mwenzake MWIGULU.

Huenda mama ktk kustaafu kwake akamfikiria Kama alivofikiriwa mkapa enzi ya mwinyi
 
Kama ni hivyo, basi January Makamba ni one of the most intelligent politicians in Tanzania! Lakini I have serious doubts on that.
Mkuu but kiuhalisia tu unadhani nani ana sifa au uwezo halisi wa kuongoza hii nchi yenye changamoto lukuki kati ya January na Mama?
 
Aliyeanzisha uchawa ni samia
Hapana ni magufuli labda kama kwenye utawala wa JPM hukuwepo Tanzania watu wengi wa Media walikuwa teuzi na wote wakageuka watu wa kusifu na kuabudu kipindi kile vipi vipi umesahau kipindi kile Hadi kabudi alimwita magufuli mheshimiwa mungu?
 
Gawanya na uongoze ndio mtindo wa kisasa
 
Hasa hasa huyu Mama Kizimkazi ni mwepesi kama karatasi
Sintashangaa kuona akitumia formula ile ile aliyotumia kwa January Makamba. Wanasiasa wa Tanzania, hasa CCM, ni wepesi sana kughiribiwa, hawana substance wala msimamo. Nyoronyoro kabisa!
 
Sasa umeona hii thread imekataa hilo au imesema Samia kishawapiga chenga kupitia Mkutano Mkuu? Ndio maana uliibuka na F nyingi, huna uwezo wa kusoma na kuelewa kitu
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu??
Sijawahi pata F toka nianze kusoma.
 
Porojo ni kitu cha hovyo sana hasa ukiwa umefikisika na kuishiwa kabisa hoja za kuibua jukwaani [emoji205]
Wewe Nina uhakika ni kati ya wale waliojipaka mavi kule uwanja wa taifa na kupita mbele ya rais.
Badala ujibu hoja unaandika mipasho
 
Haya yanafanyika Tz tu.
 
Tunaongozwa na watu wajinga sn
 
CCM ni moja na itaendelea kuwa hivyo. Hakuna anayepinga na HATATOKEA. Endeleeni kujilisha matango pori, wakati CCM inajijenga na kujiandaa na Uchaguzi Mkuu. Ikishinda kwa kishindo mke mseme mmeibiwa kura! KUMBAVU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…