Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

Hapana ni magufuli labda kama kwenye utawala wa JPM hukuwepo Tanzania watu wengi wa Media walikuwa teuzi na wote wakageuka watu wa kusifu na kuabudu kipindi kile vipi vipi umesahau kipindi kile Hadi kabudi alimwita magufuli mheshimiwa mungu?
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👏👌👍👊🤝🙏
 
Sasa mhuni ni mhuni tu!

Aliemshauri mama amrudishe January na Nape ndio kamuingiza mkenge tena!

Hai jamaa ndio wanaenda kumfelisha mazima hatoamini kinachoenda kutokea!huo ushauri nadhani unatoka Kwa msoga gang!!

January haaminiki huyo !!
 
Sasa mhuni ni mhuni tu!

Aliemshauri mama amrudishe January na Nape ndio kamuingiza mkenge tena!

Hai jamaa ndio wanaenda kumfelisha mazima hatoamini kinachoenda kutokea!huo ushauri nadhani unatoka Kwa msoga gang!!

January haaminiki huyo !!
Siasa sio direct namna hiyo mara zote. Kumbuka January anajua anataka 2030 sio 2025, hivyo atakumbatia "kurudi kwa mama" kwa kwa mikono miwili kwa matarajio atapata support ya mama kwa ajili ya 2030.

Na mama sio kiazi, anajua kufanikiwa 2025 lazima awaweke sawa wapinzani wake wa ndani, pamoja na kundi la JPM

Pia January asijisahau. Kwa siasa za kifalme za Tanzania, ajue wazi mama ana mkwe wake pale anaemsifia kuwa na kifua kikubwa. Atajaribu kumrithisha kiti cha ufalme. Kama sio mkwe kuna Mwigulu, ambae anafanya kila namna ya kujipendekeza kwa mama ili ajitengenezee njia ya 2030. Kama Abdul kawa tajiri ndani ya kipindi cha utawala wa mama, utajiri huo utakuwa umewezeshwa kwa kiasi kikubwa na Mwigulu
 
CCM kipindi hiki ina mgombea dhaifu na asiyekubalika kuliko kipindi kingine chochote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe.
Majibu Yako oktoba Utajua ni dhaifu au hakubaliki.

Uzuri hizi porojo mlianza nazo tangu SSH anakuwa Rais ,Kila kitu mnazidi kusogeza tarehe mbele 😂😂
 
Ni kweli maana kundi la utekaji la rais litawapoteza.
 
Mbona Kama uraisi ni cheo ambacho kila mtu ana kimbilia, shida ni hizi hizi rasilimali za kila siku?

maana katika hao kina mwigulu, makamba, hamna mwenye maajabu ya kimaamuzi zaidi ya kuwaza asilimia zao waki staafu.
Upande wa pili, kuwarudisha hawa watu kunaweza kukamgeuka Samia. Ni kwamba bila kujua, anawaweka zizi moja wale wote waliokamia kuwa maraisi 2030 - January, Mwigulu, Mchengerwa, Nchimbi, Biteko, Tulia, Ridhiwani, nk. Sasa ndani ya hawa, kuna baadhi kufanikiwa kwao 2030 maana yake Samia asifanikiwe 2025. Tusubiri yajayo!
 
Sawa kwa sababu alisema katiba ni kitabu tu kama makaratasi mengine!!
Kwa kifupi umeisoma katiba???
 
Wapinzani nyie ni mbumbumbu sana,tuvyama twenyewe hatuna uwezo w kusimamisha wagombea Nchi nzima eti ndio mtashinda Urais/CCM?
Basi mbumbumbu ni CCM ambao wanatumia nguvu kubwa ku-suppress tuvyama ambato hatuna uwezo wa kusimamisha wagombea Nchi nzima wakidhani eti watashinda Urais/CCM?
 
Mtu yeyote mwenye kujitambua kichwani hawezi kukubali uwezo wa sa100 kuwa rais, uwaziri wa utamaduni na sanaa huko ni sawa...urais hatoshi...wanufaika wachache tu ndio wanaorubuni watz woote tumchague!
 
Tatizo ni kwamba vilaza mara nyingi ndio wanaopiga kelele sana kujifanya wanajua. Sasa kama wewe unajua kuliko wengine tueleze analysis ni nini, na kwa nini hii sio analysis
Naona akili yangu Ina mambo mengi zaidi na muhimu ya kuyashufhulikia kuliko huo ujinga ulioupamba kwa kuuita analysis. Bakini nao huko unyumbuni
 
Naona akili yangu Ina mambo mengi zaidi na muhimu ya kuyashufhulikia kuliko huo ujinga ulioupamba kwa kuuita analysis. Bakini nao huko unyumbuni
Jibu la mtu anaejifanya anajua lakini hajui kitu!

Watu kama wewe ni wajinga kwa kiasi ambacho hata ile akili kidogo inayotakiwa kuficha ujinga wenu mnakuwa hamna!
 
Jibu la mtu anaejifanya anajua lakini hajui kitu!

Watu kama wewe ni wajinga kwa kiasi ambacho hata ile akili kidogo inayotakiwa kuficha ujinga wenu mnakuwa hamna!
Watu km wewe ni wapumbavu mno msipstahili kuwepo kwenye jamii. Mna bahati JPM kaomdoka, wajinga wajinga km wewe mngeshika adabu..... pumbaaavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…