Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

Watu km wewe ni wapumbavu mno msipstahili kuwepo kwenye jamii. Mna bahati JPM kaomdoka, wajinga wajinga km wewe mngeshika adabu..... pumbaaavu
Watu wanaotukana hivi mitandaoni wana tatizo la afya ya akili
 
Kwenye miundombinu alipatia sana na nidhamu kwenye huduma za kijamii zinazotolewa na Serikali
ATCL bado ni janga kwa Taifa. (hasara kila leo)

SGR ni swala la muda tu, hasara zitakuwa hadharani.

Barabara nyingi zilijengwa kipindi cha Jakaya.

kwenye majengo angalau sawa, japo pia Hospitali sio jengo
 
ATCL bado ni janga kwa Taifa. (hasara kila leo)

SGR ni swala la muda tu, hasara zitakuwa hadharani.

Barabara nyingi zilijengwa kipindi cha Jakaya.

kwenye majengo angalau sawa, japo pia Hospitali sio jengo
JPM kajenga nyingi sana na kuringa na muda aliokaa madaraka kwaiyo ulitaka SGR isijegwe.

SGR kula hasara labda wafanye ufisadi kama wanaoufanya kwenye mwendokasi
 
JPM kajenga nyingi sana na kuringa na muda aliokaa madaraka kwaiyo ulitaka SGR isijegwe.

SGR kula hasara labda wafanye ufisadi kama wanaoufanya kwenye mwendokasi

Jiwe aliharibu nchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, hakuna kokote alikofaulu.

Ameacha majanga tupu
 
This is beyond your brain power to comprehend. Acha wenye akili wa discuss. Hii siyo porojo, ni analysis na analysis can never be porojo kwa sababu inatokana na uwezo wa kuona na kuelewa ambao ni wazi wewe huna.
Si lazima kumjibu mtu mjinga mjinga, sometimes silence is the best answer.
 


Hata ikiwa wewe usiku unaota hii sura ikiwa imevaa kibwaya na kaniki, hutoogopa?
 
Watu wanaoleta uozo humu jukwaani Hadi kufikia kutukanwa Wana matatizo zaidi ya akili.
Kila kichaa anaona walio na akili timamu ndio vichaa, wanasikia njaa na chakula cha bure kipo nje nje kwenye mapipa!
 
Kna kiti kimoja ambacho wengi mnaki-mis. Tanzania ukishakuwa wewe ni rais wa nchi, basi una nguvu kubwa sana sana na hakuna mtu yeyote pembeni anayeweza kukuondoa kwenye kiti au kuzuia usigombee. Labda uzembee sana wakuondoe kwa kukuwekea sumu lakini siyo kwa njia za kikatiba. Hata kama unataka kuwa rais wa maisha, uwezo unao. Inapofika wakati wa uteuzi wa wagombea wa CCM habari kama hizi huwa zinavuma sana. Kikwete hivyo hivyo walisema atakuwa rais wa awamu moja kwani kuna watu wanampinga. Magufuli hivyo hivyo. Hizi ni porojo tu.
 
Sasa umeona hii thread imekataa hilo au imesema Samia kishawapiga chenga kupitia Mkutano Mkuu? Ndio maana uliibuka na F nyingi, huna uwezo wa kusoma na kuelewa kitu
Mkuu hata kina January hawana nguvu yoyote. N maneno tu. Nguvu za kikatiba alizonazo rais wa Bongo hakuna mwenye uwezo wa kuzitikisa, labda wananchi wakiwashe tu.
 
Yaani wewe utapigwa radi mchana saa saba kwa dhambi ya uongo, Jamaa was a hero of Africa sio Tanzania ,
Ingekuwa hivyo, Mungu angemlinda kwa manufaa ya watu wa Mungu. Angemaliza kipindi cha utawala wake. Aliijeruhi mioyo ya watu wengi sana, watu wakamlilia kwa Bwana, Bwana akamuondoa.

pia alijiweka moyo wake kwenye kiti cha Mungu kwa kutaka kusifiwa na kuabudiwa. Mungu alisema hatompata mtu utukufu wake, ama kugawana. Mungu akamuondoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…