View attachment 3250408
Hata ikiwa wewe usiku unaota hii sura ikiwa imevaa kibwaya na kaniki, hutoogopa?
Utabiri huu unaurudia rudia kuuweka humu mara kwa mara mpaka naanza kuamini labda kweli kuna kitu umekiona kinakuja !!!! 😳CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Huwa nawaona kuwa ni mazuzu wakubwa wote wanaomlaumu marehemu ilhali kuna watu walio hai wanafanya uhuni na ujinga wote huku mkiwapigia salute....katika kitu alichofeli magufuli ni kuanzisha huu mfumo wa machawa kulipwa na kula teuzi
Acha ujinga na uzuzu hata kama na wewe ni chawa kusema uovu wa marehemu ni sehemu ya historia.Huwa nawaona kuwa ni mazuzu wakubwa wote wanaomlaumu marehemu ilhali kuna watu walio hai wanafanya uhuni na ujinga wote huku mkiwapigia salute....
Hebu jiulize hata wewe ni kipi utabadilisha ukikomaa kumlaumu marehemu huku ukiwapigia saluti wahuni walio hai!?
Na wewe acha upoyoyo, aliyoyafanya Hittler yalishughurikiwa kitaifa na kimataifa ndio maana imebaki kuwa historia....Acha ujinga na uzuzu hata kama na wewe ni chawa kusema uovu wa marehemu ni sehemu ya historia.