Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

katika kitu alichofeli magufuli ni kuanzisha huu mfumo wa machawa kulipwa na kula teuzi
Huwa nawaona kuwa ni mazuzu wakubwa wote wanaomlaumu marehemu ilhali kuna watu walio hai wanafanya uhuni na ujinga wote huku mkiwapigia salute....

Hebu jiulize hata wewe ni kipi utabadilisha ukikomaa kumlaumu marehemu huku ukiwapigia saluti wahuni walio hai!?
 
Acha ujinga na uzuzu hata kama na wewe ni chawa kusema uovu wa marehemu ni sehemu ya historia.

Unafikiri maprofesa wanaoandika historia ya inayoonyesha Hitler kuwa alikuwa chanzo cha vita ya pili ya Dunia ni mangumbaru kama wewe wameshindwa kubadili chochote

Tukifanya uovu utaset bad precedent na historia itakulaumu Kwa hilo.

Na moja ya hatua niliyochukua ili kbadili hili ni kuonyesha chanzo Cha uovu na athari za huu uovu japo machawa mtamind
 
Acha ujinga na uzuzu hata kama na wewe ni chawa kusema uovu wa marehemu ni sehemu ya historia.
Na wewe acha upoyoyo, aliyoyafanya Hittler yalishughurikiwa kitaifa na kimataifa ndio maana imebaki kuwa historia....

Huwezi kumlaumu marehemu huku ukiwaacha wahuni walio hai wakiendeleza alichokianzisha marehemu...

Alichokianzisha Hittler kilifutiliwa mbali hata baada ya kuondolewa.

Alichokianzisha Magufuli kwa nini hakifutiliwi mbali?

Acha upoyoyo
 
Back
Top Bottom