Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

Hongera Muheshimiwa Raisi SAMIA SULUHU HASSAN, kazi tunaiona.
 
Propaganda tu hizo, filamu haina hata mwaka mafanikio lukuki.
Kuna somo lnaitwa Statistics na kuna wataalamu wake. Lnafundsha jns ya kufanya Statistical analysis kitaalamu. Ss hv kila mtu ni mtaalam wa fani hiyo! Hapa hata miezi haijapita kila tarakimu iliopo ktk utalii inasemekana inahusu hiyo "tuwa"! Nchi imeachana na utaalamu imeungana na mapambio, masifa yasiyo na kichwa/miguu ...halafu tutegmee maendleo, tutangoja sana
 
Back
Top Bottom