Hilo kundi dogo halipasi kupewa taswira ya Tanzania nzima.WE ARE GENERATION BONGO LALAAAAAZ OF TANZANIA ........FOR REAL....................MITAAAANI KUNA AKILI PANZI ZINAVAA FLANA ZA KIJANI YANAYOONYESHA ETI RAFIKI WA MAMA...........MHHHHHHHHHHHHHHH
AMA KWELII WE ARE BONO LALAAAAAAAAAAAAAAAA OF TZ
Kwamba Samia ndio kiongozi wa mwisho Tanzania, baada yake hapatakuwa na mwingine?kwenye hizi mbuga kuna mali safi asee ilikua swala la muda tu.
Akili na maarifa ya watawala yamefika mwisho hapo wakaona kuuza miaka 100 ndio mpango mzima.Kwamba Samia ndio kiongozi wa mwisho Tanzania, baada yake hapatakuwa na mwingine?
Mwl Nyerere alikuwa akiyatunza madini na raslimali Kwa ajili yake sio!!
HATOGOMBEA!!Akili na maarifa ya watawala yamefika mwisho hapo wakaona kuuza miaka 100 ndio mpango mzima.
CCM ndiyo ya kulaumiwa kwani ni wao wanaokumbatia huu muungano wa mchongoHaya ni matusi ya rejareja anatutukana!!
Hata kama wanalenga kuvunja Muungano, Si Kwa hatua hiz!!
Na wazee washauri waliopo hata hawamshauri ipasavyo,..Tanganyika ina maeneo mengi sana yenye madini.
..Serengeti yenyewe kwa mapato ya utalii inayotuingizia ni sawa na mgodi wa madini.
..Kama maeneo ya kuchimba madini hayajakwisha kwanini uende kuchimba ktk eneo ambalo lina thamani na la kihistoria kama Serengeti?
..Tukiamua kuchimba madini Serengeti mbuga gani ya wanyama itasalimika? Kama hatuithamini Serengeti tutathamini mbuga gani?
..Watanganyika hawaruhusiwi hata kuchunga Serengeti kwa ajili ya kuhifadhi mbuga hiyo, halafu wanaletwa wageni kuchimba madini?! Je, huo ni uungwana?
..Naamini tatizo la Maza ni kwamba hajui historia ya Tanganyika. Zaidi haijali wala haithamini Tanganyika. Kinachomuongoza yeye ni kuchoma na kubaki madarakani.
Kwani aliyeuza gesi yetu 004 hakuwa mtanganyika?CCM ndiyo ya kulaumiwa kwani ni wao wanaokumbatia huu muungano wa mchongo
Heri walio na huzuni , maana watafarijiwa .🫢🤫😫😣😭
Na wazee washauri waliopo hata hawamshauri ipasavyo,
Yaani inafikia Hadi laymen wanaona mapungufu ya wazi ya viongozi!!
Hii Si sawa!!
Afadhali hata tungekuwa tumempigia kura nafasi ya Urais tungesema tukichagua vibaya.Heri walio na huzuni , maana watafarijiwa .
Afadhali hata tungekuwa tumempigia kura nafasi ya Urais tungesema tukichagua vibaya.
Magufuli tutakukumbuka 😪
Huo mkataba umeingiwa lini? Mbona mambo yanaenda mbio kiasi hiki? Ni kawaida? Mbona kama kunataka kuibua maswali mengi?Lesseni za madini Kwa wawekezaji katika madini ni miaka 99.
Sasa hao Simba na tembo watakuwa wapi!!
Samia amesema sasa atalazimisha madini kuchimbwa kwenye mbuga zetu Serengeti ikiwemo akidai Simba na tembo hawali madini🤔Huo mkataba uneingiwa lini? Mbona mambo yanaenda mbio kiasi hiki? Ni kawaida? Mbona kama kunataka kuibua maswali mengi?
Wacha madini yachimbwe tu, Wanyama hawali madini !Salaam, Shalom!!
Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!?
Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya Serengeti ya miaka 100 Kwa mwekezaji, ni sawa na kumuuzia mbuga zetu Kwa maana uchimbaji lazima utaondoa wanyama wetu wa asili mbugani Ili kuruhusu uchimbaji.
Haya matusi tunayotukanwa na viongozi wetu, yafike mwisho sasa, tuhakikishe kiongozi huyu hagombei 2025.
Nawaita walinzi wa Nchi wa kiroho na kimwili kuchukua nafasi zenu.
NB: Kuruhusu uchimbaji madini mbugani ni sawa na kufuta RANGI ya kijani katika bendera ya Taifa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Pia soma