Kuruhusu Ubinafsishaji na uchimbaji ndani ya mbuga zetu ni sawa na kuziuza?

Kuruhusu Ubinafsishaji na uchimbaji ndani ya mbuga zetu ni sawa na kuziuza?

WE ARE GENERATION BONGO LALAAAAAZ OF TANZANIA ........FOR REAL....................MITAAAANI KUNA AKILI PANZI ZINAVAA FLANA ZA KIJANI YANAYOONYESHA ETI RAFIKI WA MAMA...........MHHHHHHHHHHHHHHH

AMA KWELII WE ARE BONO LALAAAAAAAAAAAAAAAA OF TZ
Hilo kundi dogo halipasi kupewa taswira ya Tanzania nzima.

Wazalendo tupo wengi sana, tunaweza kuinusuru Nchi yetu na haya majambazi
 
kwenye hizi mbuga kuna mali safi asee ilikua swala la muda tu.
Kwamba Samia ndio kiongozi wa mwisho Tanzania, baada yake hapatakuwa na mwingine?

Mwl Nyerere alikuwa akiyatunza madini na raslimali Kwa ajili yake sio!!
 
Kwamba Samia ndio kiongozi wa mwisho Tanzania, baada yake hapatakuwa na mwingine?

Mwl Nyerere alikuwa akiyatunza madini na raslimali Kwa ajili yake sio!!
Akili na maarifa ya watawala yamefika mwisho hapo wakaona kuuza miaka 100 ndio mpango mzima.
 
..Tanganyika ina maeneo mengi sana yenye madini.

..Serengeti yenyewe kwa mapato ya utalii inayotuingizia ni sawa na mgodi wa madini.

..Kama maeneo ya kuchimba madini hayajakwisha kwanini uende kuchimba ktk eneo ambalo lina thamani na la kihistoria kama Serengeti?

..Tukiamua kuchimba madini Serengeti mbuga gani ya wanyama itasalimika? Kama hatuithamini Serengeti tutathamini mbuga gani?

..Watanganyika hawaruhusiwi hata kuchunga Serengeti kwa ajili ya kuhifadhi mbuga hiyo, halafu wanaletwa wageni kuchimba madini?! Je, huo ni uungwana?

..Naamini tatizo la Maza ni kwamba hajui historia ya Tanganyika. Zaidi haijali wala haithamini Tanganyika. Kinachomuongoza yeye ni kuchoma na kubaki madarakani.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Na wazee washauri waliopo hata hawamshauri ipasavyo,

Yaani inafikia Hadi laymen wanaona mapungufu ya wazi ya viongozi!!

Hii Si sawa!!
 
Na wazee washauri waliopo hata hawamshauri ipasavyo,

Yaani inafikia Hadi laymen wanaona mapungufu ya wazi ya viongozi!!

Hii Si sawa!!

..kama Serengeti haina thamani, basi hata Mlima Kilimanjaro nao hauna thamani. Tukigundua madini huko ni halali kwenda kufyatua mabaruti na kuchimba ktk mlima Kilimanjaro.

..Kwa kifupi uamuzi wa kuchimba madini hifadhi ya Serengeti unaonyesha mtizamo wa Maza kuhusu Tanganyika, watu wake, na rasilimali zao.
 
Heri walio na huzuni , maana watafarijiwa .
Afadhali hata tungekuwa tumempigia kura nafasi ya Urais tungesema tukichagua vibaya.

Magufuli tutakukumbuka 😪
 
Funzo tumelipata,i hope wamarekani hawatafanya makosa.
Machawa watakuja kusema
"Hakuna Rais wa Marekani Mwanamke kuchaguliwa tangu dunia iumbwe Kabla ya mama Samia.
"NANI KAMA MAMA"
 
Afadhali hata tungekuwa tumempigia kura nafasi ya Urais tungesema tukichagua vibaya.

Magufuli tutakukumbuka 😪

..hata Magufuli alikuwa hazingatii ripoti za wanamazingira na wahifadhi.
 
Kumtoa Nape na January namuunga mkono na bado Kuna Mwigulu,Jenista Muhagama pia awaondoe lakini hili la Kuchimba madini yetu ndani ya Hifadhi naomba aachane nalo ni hatari mnooo kwake,aachane na huo mpango kama kweli amedhamiria huu ubaya mhh nitasema hatuna vyombo vya Ulinzi na Checks n Balances haina haja kuwepo.
 
Salaam, Shalom!!

Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!?

Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya Serengeti ya miaka 100 Kwa mwekezaji, ni sawa na kumuuzia mbuga zetu Kwa maana uchimbaji lazima utaondoa wanyama wetu wa asili mbugani Ili kuruhusu uchimbaji.

Haya matusi tunayotukanwa na viongozi wetu, yafike mwisho sasa, tuhakikishe kiongozi huyu hagombei 2025.

Nawaita walinzi wa Nchi wa kiroho na kimwili kuchukua nafasi zenu.

NB: Kuruhusu uchimbaji madini mbugani ni sawa na kufuta RANGI ya kijani katika bendera ya Taifa.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.

Pia soma
Wacha madini yachimbwe tu, Wanyama hawali madini !
 
Back
Top Bottom