Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
WANAUME wengi humu JF wanapoamua kuzungumzia kuhusu matatizo yao wanazungumzia sana kuhusu nguvu za kiume, lakini kuna tatizo la wanaume ambao wanashindwa kuwapa wake zao mimba pamoja na kwamba wanaonekana kuwa na nguvu za kiume.
Binafsi nimegundua kwamba baadhi ya wanaume (nimeongea na watatu) wakati wakiwa wanashusha mzigo manii au shahawa zao zinashindwa kutoka kwa kuruka (kutoka katika mpangilio maalum)... Inasemekana kwamba ugonjwa huu unatokana na wanaume kupendelea sana kula vyakula vya mafuta na kuacha kufanya mazoezi. Kama kuna mtaalamu ambaye anaweza kuufafanua kwa kina ugonjwa itakuwa vyema kwa waliothirika nao, naamini wapo wengi zaidi watajifunza. naomba kufungua hoja.
Ndiyo maana MziziMkavu akakujibu kuwa umeshajijibu mwenyewe, yaani jibu tayari unalo sasa sijuwi unatafuta nini labda unataka dawa, kama ni dawa zipo tuwasiliane tu.
Last edited by a moderator: