Kurusha manii kunakotakiwa

Kurusha manii kunakotakiwa

WANAUME wengi humu JF wanapoamua kuzungumzia kuhusu matatizo yao wanazungumzia sana kuhusu nguvu za kiume, lakini kuna tatizo la wanaume ambao wanashindwa kuwapa wake zao mimba pamoja na kwamba wanaonekana kuwa na nguvu za kiume.
Binafsi nimegundua kwamba baadhi ya wanaume (nimeongea na watatu) wakati wakiwa wanashusha mzigo manii au shahawa zao zinashindwa kutoka kwa kuruka (kutoka katika mpangilio maalum)... Inasemekana kwamba ugonjwa huu unatokana na wanaume kupendelea sana kula vyakula vya mafuta na kuacha kufanya mazoezi. Kama kuna mtaalamu ambaye anaweza kuufafanua kwa kina ugonjwa itakuwa vyema kwa waliothirika nao, naamini wapo wengi zaidi watajifunza. naomba kufungua hoja.

Ndiyo maana MziziMkavu akakujibu kuwa umeshajijibu mwenyewe, yaani jibu tayari unalo sasa sijuwi unatafuta nini labda unataka dawa, kama ni dawa zipo tuwasiliane tu.
 
Last edited by a moderator:
Maneno yako yametulia mno na uko 110% accurate.

gody labda mkao unaomuweka wakati unaingiza kidole unafanya usifikie eneo la cervix, hakuna uwezekano kidole chako kifikie eneo la uterus(mfuko wa uzazi kama ndivyo ulivyokuwa ukidhamiria!!Inabidi ajikunje au magoti yawe kwenye kifua ili ufikie hilo eneo la cervix(external os)!na uwazi wenyewe upo tofauti kwasababu hajazaa utakuwa kama rosebud(umejikunja na kujificha zaidi).
Kama alishapima ultrasound hakuna tatizo mkuu!!Ondoa shaka mkeo hio tundu ya uke anayo inakuwa imevificha sio rahisi kuihisi!!
Mbegu za kiume zina uwezo mkubwa sana wa kuogelea na zinafika zinapotakiwa kwenda wasiwasi wako tu!!
View attachment 116991
View attachment 116990
Cc @HOUSE WIFE
 
hebu funguka kidoko mkuu kwahyo hapa
asipofika yeye mimba hapat?
Je na wanaobakwa?
Kujifunza na kwa faida ya wengine!!
Hukunielewa? Hata kama hajafika mimba atapata.
Tatizo ni kwamba umewahi yeye hujamfikisha so hatakuwa amefurai ama kumaliza hamu zake.
Ila mimba inajipa hata kama hujafika ama kufikishwa , so hicho si kigezo cha kutopata ujauzito
 
Back
Top Bottom