Kurushwa kutoka juu

Hata mimi.. Anazungumzia mieleka ama??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]




Cc Smart911

Hapo kazungumzia michezo miwili...

Huo wa kuwekwa kwenye kiti alafu unaachiwa toka juu mfano wa kubembea... Sky screamer...

Huo wa kukaa na kuzungushwa kama upo kwenye treni.. Roll Coaster...

Nishajaribu yote hiyo... kama una roho ndogo ni kweli huwezi thubutu...

Unapatwa na raha ya ajabu na uwoga wa ajabu hapo hapo yani ni malue lue tu unasikia...
 
Baadhi zimeshakatika na wahusika kurudisha namba. Michezo ya hovyo hovyo hivyo ambayo inaweza kusitisha uhai wa mtu ni kuiangalia tu na si kushiriki.

 
Hapo mwishoni mwa uzi wako unajiita Mrs G kwa mbwembwe zote wakati huna chura!....Mr G ameniambia wala hana furaha na hayo mahusiano yenu!!

Hahahaha unnifurahishaga,sina chura lakin navyopendwa sasa kama kuwazidi wenye vyura vyao,na G wangu alivyo handsome sas wala hana habari na vyura kwanza havipendi kabisa,nishamkamata kaozaa ananuka
 
Baadhi zimeshakatika na wahusika kurudisha namba. Michezo ya hovyo hovyo hivyo ambayo inaweza kusitisha uhai wa mtu ni kuiangalia tu na si kushiriki.

Inaitwaje hiyo michezo watu wanuliza mi hata sijui jina naonaga video tu
 
Reactions: BAK
Mimi kwanza nilivyoona kaandika kurushwa toka juu nikajua tu hii thread ya huyu mama inahusu mambo yetu yaleeee.

Kusoma naona vitu vya ajabu tu.

Kuna video bana wanakuwa kwenye daraja refuu halaf unarushwa chiniiii ya daraja achana na daraja la kigamboni fupi hilo
 

Bora umenisaidia hawa wanakalia kuangalia umbea tu huko insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…