Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hapo kazungumzia michezo miwili...
Huo wa kuwekwa kwenye kiti alafu unaachiwa toka juu mfano wa kubembea... Sky screamer...
Huo wa kukaa na kuzungushwa kama upo kwenye treni.. Roll Coaster...
Nishajaribu yote hiyo... kama una roho ndogo ni kweli huwezi thubutu...
Unapatwa na raha ya ajabu na uwoga wa ajabu hapo hapo yani ni malue lue tu unasikia...