Mzuka Wanajamvi!
Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu.
Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka wanashtukizia tu nilishafika mtoni.
Hii inasaidia sana.