Kusafiri kwenda au kupita mashariki ya kati ni hatari.Tahadhari yatolewa

Kusafiri kwenda au kupita mashariki ya kati ni hatari.Tahadhari yatolewa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Mashambulizi kwenye maeneo ya Israel yameshika kasi tangu jana wakati Marekani iliposhambulia vinu vya nyuklia vya Iran.Maafa ndani ya Israel yameongezeka sana na katika kila eneo la ardhi hiyo.

Wafuatiliaji wa usalama wa usafiri wa anga wametoa tahadhari kwa wasafiri kuchukua tahadhari wanapotafuta usafiri unaokwenda mashariki ya kati au kutumia mashirika ambayo ni lazima yapitie nchi hizo.

Tahadhari hiyo inakuja hasa ikitarajiwa wakati wowote Iran inaweza ikaanza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani kama ilivyoahidi ambavyo vimeenea kote mashariki ya kati kwenye mataifa marafiki zake.
 

Nonstop Iranian attacks causing extensive damage in IsraelNour Odeh
Nour Odeh
Reporting from Amman, Jordan​

Al Jazeera is reporting from Jordan because it has been banned in Israel and the occupied West Bank.
Damage in Israel over the past 10 days has been extensive.
Most of the damage has been in central Israel, but also in Haifa, a very strategic city that’s been pummelled repeatedly.
In one case yesterday, a missile made impact without the sirens going off. After an investigation, the Israeli army confirmed that it was, in fact, an Iranian missile, not an interceptor that misfired.
This nonstop dynamic has pushed more than 30,000 Israelis to file for compensation. Several hundred have had to seek alternative housing. Local authorities are paying a little over $4m a day to try to accommodate these emergent needs.
 
Back
Top Bottom