Ila awe na kiasiMh. Raisi ni ushauri wangu uendelee na safari za nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila awe na kiasiMh. Raisi ni ushauri wangu uendelee na safari za nje
Ufisadi ulikithiri mno awamu ya JK kuliko kipindi chochote katika historia ya Taifa letu.
Extreme!Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
StraightforwardExtreme!
Ndio maana nikasema, angepambana na ufisadi lakini asiharibu mazingira ya uwekezajiUfisadi ulikithiri mno awamu ya JK kuliko kipindi chochote katika historia ya Taifa letu.
Ufisadi na uwekezaji ni dugu moja mama bali bali.Ndio maana nikasema, angepambana na ufisadi lakini asiharibu mazingira ya uwekezaji
Kwahiyo unataka kusema bila uwekezaji hakuna ufisadi.... sasa alternative ya uwekezaji ni nini?Ufisadi na uwekezaji ni dugu moja mama bali bali.
Kusafiri nje hakumpi mtu exposure yoyote labda kidogo sana, kinachotoa exposure kubwa ni kuishi nje.Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa kasi. Kwa mtazamo huu utagundua kila safari inamuongezea uchu wa kutaka kuiona Tanzania inajitahidi kufikia ile kasi ya maendeleo ambazo nchi nyingine zimeshaifikia.
Piga picha wewe kama wewe uwe kila siku unafanya safari zako kutoka kijijini kwenu kule ndanindani kabisa kwenda tena ndani zaidi kwa bibi na babu kuwasalimu na kufanya mizunguko mingine isiyokuwa muhimu. Imagine fikra zako zitakavyobaki mgando kutokana na kutojifunza chochote kutoka kwenye mazingira ambayo hayakujengi kimtizamo wala fikra. Wenzako wanaokimbilia mijini na majiji watakupiku parefu sana kimaendeleo.
Mh. Rais ni ushauri wangu uendelee na safari za nje na pia utoe mwanya na kwa mawaziri pamoja na wale wote wanaoweza kwenda huko nje kutuletea mawazo mapya ya kutufanya tupate maendeleo kwa haraka.
Kukaa tu hapa ndani na kuzunguka wilayani kutafuta kesi ya nani kaibiwa kuku wake sisi kama taifa kwa ujumla hatutapata manufaa yeyote yale na badala yake tutazalisha viongozi mgando na wenye mtazamo hasi na very very primitive.
Kwa hapa nyumbani ukishasema uwekezajiKwahiyo unataka kusema bila uwekezaji hakuna ufisadi.... sasa alternative ya uwekezaji ni nini?
Sawa sasa tuambie mbadala wake ni nini? Maana ni rahisi kusema usichotaka, sema unataka nini badala yake.Kwa hapa nyumbani ukishasema uwekezaji
Basi jua kuna pasenti za watu na rushwa nyingine ndogo ndogo zitakazofuatia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ambaye alikuwa hataki kusafiri alikuwa anaogopa vitu viwili;
(1) Kwa vile alikuwa amewekewa defibrillator kwenye kifua KUONGEZA kasi ya mapigo ya moyo, ilikuwa ni hatari kwake kusafiri na ndege safari ndefu. Ndiyo maana akabakia kuwa Rais wa kuzurura Msamvu, Sekenke, Kahama na Chato. Usidanganywe kwamba Magufuli eti alikuwa anabana matumizi, HAPANA
(2) English ilikuwa ni tatizo kubwa kwake. Unapotoka nchi iliyotawaliwa na Mwingereza na unadai una PhD halafu unasema "people used to die in ze rake" lazima utaonekana kituko.
Muacheni Samia mwenye Afya inamruhusu na English anapiga kisawasawa aendelee kusafiri vile anavyodhani inaleta tija kwa nchi yetu
Kweli peno hasegawa maana yake empty head. Umekejeli kuwa JK hakufanya kitu, nimekuorodheshea vitu vya JK halafu unasema ni UPIGAJI.M
Vyote ulivyovitaja vilikuwa ni upigaji mkubwa na wizi mkubwa kwa kuanzia hilo daraja la kigamboni.
Chuo kikuu cha Dodoma ulikuwa upigaji mkubwa haramu africa.
Ni hii nchi pekee mtu atashabikia maendeleo kama mpira wa Yanga na Simba. Ni vigumu sana kuwaelezea yaliyotoke kama ni ya kweli au la.Kweli peno hasegawa maana yake empty head. Umekejeli kuwa JK hakufanya kitu, nimekuorodheshea vitu vya JK halafu unasema ni UPIGAJI.
Jiangalie kama bado una ubongo kichwani
Hakupenda kusafiri sababu alikuwa mlemavu, na English ilikuwa mtihani. Aliyoyafanya ilikuwa ni kwa Kodi zetu na ndiyo kazi za Rais japo aliiba Tshs 2.4 Trillion na alipohojiwa akamfukyza CAG.
Mijitu inachuki, ujinga na uvivu wa fikra kuamini JPM did nothing. Utasema hawana macho. Binafsi kuna approach ya JPM sikuwa nakubaliana nayo ila nilipokuja kuingia serikalini nikaona yule mzee alikuwa sahihi..... kuna ujinga mwingi sana.
Sitakuamsha kwenye upopoma huu... nakuacha utajiamshaHakupenda kusafiri sababu alikuwa mlemavu, na English ilikuwa mtihani. Aliyoyafanya ilikuwa ni kwa Kodi zetu na ndiyo kazi za Rais japo aliiba Tshs 2.4 Trillion na alipohojiwa akamfukyza CAG
Nafuu uniite popoma kuliko wewe Msukule. Magufuli amekufa akiwa amechukua akili zenu na tumemzika nazo. Endeleeni kumuabudu ila tayari yeye ni chakula cha minyooSitakuamsha kwenye upopoma huu... nakuacha utajiamsha