Kusafiri nje ya nchi kwa viongozi wa kisiasa na hata wale makinda wa kisiasa ni jambo jema

Extreme!
 
Kusafiri nje hakumpi mtu exposure yoyote labda kidogo sana, kinachotoa exposure kubwa ni kuishi nje.
 
Kwahiyo unataka kusema bila uwekezaji hakuna ufisadi.... sasa alternative ya uwekezaji ni nini?
Kwa hapa nyumbani ukishasema uwekezaji

Basi jua kuna pasenti za watu na rushwa nyingine ndogo ndogo zitakazofuatia.
 
Kwa hapa nyumbani ukishasema uwekezaji

Basi jua kuna pasenti za watu na rushwa nyingine ndogo ndogo zitakazofuatia.
Sawa sasa tuambie mbadala wake ni nini? Maana ni rahisi kusema usichotaka, sema unataka nini badala yake.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
M

Vyote ulivyovitaja vilikuwa ni upigaji mkubwa na wizi mkubwa kwa kuanzia hilo daraja la kigamboni.

Chuo kikuu cha Dodoma ulikuwa upigaji mkubwa haramu africa.
Kweli peno hasegawa maana yake empty head. Umekejeli kuwa JK hakufanya kitu, nimekuorodheshea vitu vya JK halafu unasema ni UPIGAJI.

Jiangalie kama bado una ubongo kichwani
 
Kweli peno hasegawa maana yake empty head. Umekejeli kuwa JK hakufanya kitu, nimekuorodheshea vitu vya JK halafu unasema ni UPIGAJI.

Jiangalie kama bado una ubongo kichwani
Ni hii nchi pekee mtu atashabikia maendeleo kama mpira wa Yanga na Simba. Ni vigumu sana kuwaelezea yaliyotoke kama ni ya kweli au la.
 
Traveling for our president is not true that she is going to study ( get exposure) ... Samia has lived outside Tanzania for some time, she traveled lot before becoming president ... it is not true that she wasn't aware what the world is like .... but she has chosen her path , as was the case with her predecessor he did not travel and lived by believing his ideas and did great things which we will witness there benefit even after 50 years to come.

Mijitu inachuki, ujinga na uvivu wa fikra kuamini JPM did nothing. Utasema hawana macho. Binafsi kuna approach ya JPM sikuwa nakubaliana nayo ila nilipokuja kuingia serikalini nikaona yule mzee alikuwa sahihi..... kuna ujinga mwingi sana.
 
.

Hakupenda kusafiri sababu alikuwa mlemavu, na English ilikuwa mtihani. Aliyoyafanya ilikuwa ni kwa Kodi zetu na ndiyo kazi za Rais japo aliiba Tshs 2.4 Trillion na alipohojiwa akamfukyza CAG
 
Hakupenda kusafiri sababu alikuwa mlemavu, na English ilikuwa mtihani. Aliyoyafanya ilikuwa ni kwa Kodi zetu na ndiyo kazi za Rais japo aliiba Tshs 2.4 Trillion na alipohojiwa akamfukyza CAG
Sitakuamsha kwenye upopoma huu... nakuacha utajiamsha
 
Sitakuamsha kwenye upopoma huu... nakuacha utajiamsha
Nafuu uniite popoma kuliko wewe Msukule. Magufuli amekufa akiwa amechukua akili zenu na tumemzika nazo. Endeleeni kumuabudu ila tayari yeye ni chakula cha minyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…