SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Fursa hiyo mkuu 😂 😃Jf jf jf inawapa watu presha za maisha hii si kamba kabisa
We ni Alien huna ndugu, jamaa na marafiki?Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila wiki, awe na paspot na umri usizidi Miaka 60.
Nguruwe kumbe unga wa sembe nan anataka kufia magereza ya uarabuni? Kule ukikutwa huwezi kuonga pesa maana pesa wanayo polisi anatumia BMW toleo jipya uta mpa nini zaidiFursa hiyo mkuu 😂 😃
Mpaka amekuja humu ina maana hao ndugu, jamaa na marafiki, hawana vigezo.We ni Alien huna ndugu, jamaa na marafiki?
Wabongo umaskin umewaharibu akili sanaNguruwe kumbe unga wa sembe nan anataka kufia magereza ya uarabuni? Kule ukikutwa huwezi kuonga pesa maana pesa wanayo polisi anatumia BMW toleo jipya uta mpa nini zaidi
PamojaDubai ndo tunafungua ofisi mpya
Namba nne imekaa kimtego sanaNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Hatimaye wazee wa kobaz wamefikiwaNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.