Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Utapeli wa kijinga...mizigo ya ku export haihitajj escortHakuna mtu hapo tapeli huyo
Taratibu za hiyo sekta nazijua A-Z mimi pia huwa nafanya hiyo kitu.
Utapeli wa kijinga...mizigo ya ku export haihitajj escortHakuna mtu hapo tapeli huyo
Taratibu za hiyo sekta nazijua A-Z mimi pia huwa nafanya hiyo kitu.
Sasa hapa anatapeli ili apate nini mkuuHakuna mtu hapo tapeli huyo
Taratibu za hiyo sekta nazijua A-Z mimi pia huwa nafanya hiyo kitu.
Sasa hapa anatapeli ili apate nini mkuu
Na kama wanazo anawatapeli nini?Hao wafanyakazi watatu wawe na pasport ni filter mkuu.
Hujasoma codes.
Yan mim sijaelewa kabisa ..Na kama wanazo anawatapeli nini?
Siend kizembeUarabuni wanachinja sio jela tu
Hapo kwenye degree haujatenda Haki ..unaweza pata hata alieishia la 7 akawa na akili timamu kushinda Hawa wa degree ambao wanataka kazi za kukaa maofisini kupigwa na kiyoyozi na kulipwa milioni na dharau juu..wengi wa wanafanya kazi na kujituma sana wengi wameishia la 7, form 4, akizidi sana labda ngazi ya diploma.basi ..
Umeshatapeliwa mara hii?Utapeli wa kijinga...mizigo ya ku export haihitajj escort
Ungetoa haya maelezo mapema watu tusingetilia shaka..Dubai ndo tunafungua ofisi mpya
Hivi wale wanaouza parachichi na mazao mengine nje ya nchi huwa huwa wana escort wenyewe? Kwanini nyama ihitaji escort..naomba elimu.
Nina nini Cha kutapeliwa labda uboo.Umeshatapeliwa mara hii?
Uongo huu 😂😂😂Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Kama ni uongo tulia. Unaumia nn?Uongo huu 😂😂😂
Inawezekanaje tenda hiyo Kwamashehe? Fikirishi hili, ndio maana siamini kabisaaaaa!Kama ni uongo tulia. Unaumia nn?
Dubai ni mji wa kibiashara watu wengi wapo au wanaenda kule pia una vivutio vingi ambavyo kwenye mahotel yao wana raia wa inchi mbalimbali duniani.Kicheko ..........mwarabu kanunua guruwe
Uzoefu wa masoko wa nini mkuu wakati tender unayo?yeye si kupeleka tu?Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Dubai ni kwa dini zote hata upindeInawezekanaje tenda hiyo Kwamashehe? Fikirishi hili, ndio maana siamini kabisaaaaa!