SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #61
Sure. Upinde wanaenda huko kugongwa na jamaa wa KSA ambako Sheria ni kali sanaDubai ni kwa dini zote hata upinde
Sure. Upinde wanaenda huko kugongwa na jamaa wa KSA ambako Sheria ni kali sanaDubai ni kwa dini zote hata upinde
Nguruwe kwa afyaNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis).
2. LUGHA na Kiwango cha Elimu: Awe anazungumza kiufasaha lugha ya Kiarabu na Kiingereza na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA **Tuna Mpango wa kutanua biashara zetu nchi jirani (GCC) na UAE.
3. ELIMU: Bachelor of Commerce (B.Com) au Bachelor of Business Administration BBA) toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui.
Tunavyo Vibali vyote vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara Dubai, UAE
EID MUBARAK
Tumepatikana wawili, bado mmoja mpwa.Jf jf jf inawapa watu presha za maisha hii si kamba kabisa
Ndio boss.Passport kila kitu kimekaa sawa?
Onesha upande wako sasa.Dah! hivi bado mnaamini serikali inatoa elimu bure kufuta ujinga kweli? Au ndo inazalisha mazuzu. Rip mwalimu.
Kuchinjwa si ndiyo kufia jela mkuu?Uarabuni wanachinja sio jela tu
Unajiunga utakufa vibayaTumepatikana wawili, bado mmoja mpwa.
Si kamba, ni kweli.
Haswa anatokea jela auwaweKuchinjwa si ndiyo kufia jela mkuu?
Condemned Inmate ndiye huchinjwa, hatokei nyumbani kwenda kuuawa, anatokea jela.
Hawana vigezo labdaWe ni Alien huna ndugu, jamaa na marafiki?
kitimoto kimataifa👿Hatimaye wazee wa kobaz wamefikiwa
Hii kitu inamtandao mkubwa sana kama madawa ya kulevyakitimoto kimataifa👿