Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Nishaongea nae ujueUnajiunga utakufa vibaya
Nishaongea nae ujueUnajiunga utakufa vibaya
Kwhy ushapt mchongNishaongea nae ujue
Kabisa, ila hapa nimekaa nawaza, "mkuu wa meza" kumpeleka Arabuni 🤔.Kwhy ushapt mchong
Ahahah nend wakakutoe figo 😂Kabisa, ila hapa nimekaa nawaza, "mkuu wa meza" kumpeleka Arabuni 🤔.
Sio mtego kweli?
Au kule wanakula?
Aisee.Ahahah nend wakakutoe figo 😂
Watu wanatolewa figo hivi hivi
Dah!Watu wanatolewa figo hivi hivi
Ungekufa vibaya sanaDah!
Asante mpwa, maana ilikuwa niondoke baada ya sikukuu ya Idd
Haya bhana.Ungekufa vibaya sana
Zanzibar (Unguja) kuna vijiwe vingi [ndani ya nyumba za wenyeji] vya kitimoto Zanzibar kuliko IDADI ya BodabodaKobazi wanashangaa huko mbali dubai wakati hapo zenjibara tu mdudu anaongoza kwa kusafirishwa kuliko nyama nyingine yoyote
Hawa ndugu zetu ni viazi sana wanajikutaka wao ndo wanaijua sana dini yao kuliko mwarababu aliyewaleteaHakika. Kuna vijiwe vingi vya kitimoto Zanzibar kuliko IDADI ya Bodaboda
Weka bei na sehemu ulipoKama wameruhusu dini zote hii nyama haiwezi kosekana huko soko kubwa tu,ukiwataka njoo nikuuzie tu wengi bandani mwangu
AiseeeUngekufa vibaya sana
Upo sawa kabisa Dubai ina mchanganyiko wa mataifa , hata kuna moja ya Supermarket moja nilitembelea January wanauza pork hicho chumba kimeandikwa "Non-Muslims Only" hivyo hadi umeingia humo maana yake umeenda kwa hiyari yako.Hawezi kuuawa. Pork ni mboga maarufu tu katika mahoteli ya Dubai. Mwaka 2015 nilikuwa transit ya masaa 8 kutoka Singapore kurudi nchini kwa ndege za Emirates.
Kwa kuwa nilikuwa na tiketi ya business class nilitolewa pale uwanjani na Limousine hadi 5-Hotel (Novotel-Deira City Centre). Nilikula pork baada ya kuona ni moja ya mboga zikizokuwapo.
Dubai ni international city yenye population mchanganyiko. Ile siyo Afghanistan
Hayo ndiyo maisha ya nchi za Kiarabu zilizo starabika. Huku kwa Waislamu wetu wa Buza eti walivunja mabucha ya nguruwe pale Tandale mwaka 1993Upo sawa kabisa Dubai ina mchanganyiko wa mataifa , hata kuna moja ya Supermarket moja nilitembelea January wanauza pork hicho chumba kimeandikwa "Non-Muslims Only" hivyo hadi umeingia humo maana yake umeenda kwa hiyari yako.
Na nilikuta wana variety nyingi sana ya pork hata vitu ambavyo Tanzania sijawahi kuona vikiliwa kama kichwa, miguu n.k na niliambiwa pia nisiwe suprised pale kukuta pork maana ipo sehemu nyingi maana jamaa aliona nimepata mshangao fulani.
Muuzaji wa pale baada ya kupiga nae story mbili tatu alinieleza kwao ni ufilipino.
Kwanini afie huko na walaji wakuu ni haohao? Saizi baada ya mfungo kumalizika kitimoto kwenye vijiwe haishikiki,foleni kubwa sanaNguruwe kumbe unga wa sembe nan anataka kufia magereza ya uarabuni? Kule ukikutwa huwezi kuonga pesa maana pesa wanayo polisi anatumia BMW toleo jipya uta mpa nini zaidi
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis).
2. LUGHA na Kiwango cha Elimu: Awe anazungumza kiufasaha lugha ya Kiarabu na Kiingereza na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA **Tuna Mpango wa kutanua biashara zetu nchi jirani (GCC) na UAE.
3. ELIMU: Bachelor of Commerce (B.Com) au Bachelor of Business Administration BBA) toka Chuo kinachotambulika. Kwa akili ya kutafuta Masoko zaidi nchi jirani Bahrain, Qatar na Kuwait.
4. Dini yoyote hatubagui.
Tunavyo Vibali vyote vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara Dubai, UAE
UPDATE 29/03/2025
**Mzigo wa kwanza umeingia Dubai tarehe 29/03 Alfajiri. Hapo pichani ni buchani Dubai (Nyama inakataa) kabla ya kufanya delivery FIVE LUXE Hotel Dubai.