fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
inauzwa wapi hii water guard?Tumia water guard chukua ndoo ya lita 20 weka kidonge kimoja baada ya dk 30 chuja kunywa maelezo zaidi kwenye vidonge ukinunua
ulishawahi kutafuna mbegu za mlonge mkuu..??Njia ya asili tumia mbegu za mlonge pia ...pondaponda au saga tia kwenye maji , uchafu vumbi tope linaendaa kukaa chini , chuja chemsha
Inasaidia kuua vijidudu pia kwenye maji
Zina shida gani ??ulishawahi kutafuna mbegu za mlonge mkuu..??
naona unataka watu waharishe..🤣
waambie na kiasi alasivyo watahara!Zina shida gani ??
Sio nimeshawahi ndio nazitumia daily
Mkuu ulifanikiwa. Ni shingapi maana pharmacy kazaa hapa Dodoma hawauziinauzwa wapi hii water guard?